UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Sky, mipasho kama hii siyo level yako, waachie kina sexless, mmawia, nkNinasikia ule moto wa Jehanam hauzoeleki, kila leo unaona afadhali ya jana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sky, mipasho kama hii siyo level yako, waachie kina sexless, mmawia, nkNinasikia ule moto wa Jehanam hauzoeleki, kila leo unaona afadhali ya jana.
Vipi lile gaidi lenu la makengeza linaloliwa tigo gerezaniUh meivunjia hadhi Jamiiforums kwa kumuita shujaa yule jiwe bin shetwani asiye na haya.
Tutake radhi
Mmawia hana bando, hali yake kiuchumi ni tete!Sky, mipasho kama hii siyo level yako, waachie kina sexless, mmawia, nk
Vipi lile gaidi lenu la makengeza linaloliwa tigo gerezaniSky, mipasho kama hii siyo level yako, waachie kina sexless, mmawia, nk
Vipi lile gaidi lenu la makengeza linaloliwa tigo gerezaniNinasikia ule moto wa Jehanam hauzoeleki, kila leo unaona afadhali ya jana.
Vipi lile gaidi lenu la makengeza linaloliwa tigo gerezaniUh meivunjia hadhi Jamiiforums kwa kumuita shujaa yule jiwe bin shetwani asiye na haya.
Tutake radhi
Kwahiyo Mzilankende AkumbukweUmeme shida
Upigaji wa madili umerudi kwa kasii
HAKUNA JIPYA,WATU WANAKULA KWA UREFU WA KAMBA ZAONauliza ili swali tukiwa tunaelekea kutimiza mwaka mmoja tangu Rais wa Tanzania John Magufuli afariki akiwa madarakani.
Je, hali ya demokrasia ikoje?
Je, uhuru wa kujieleza ukoje?
Je, ubadhirifu wa mali ya umma ukoje?
Je, halmashauri ufisadi hali ikoje hasa Uviko fund?
Mauwaji je, hasa maeneo ya Sukuma land ie Geita
Hali ya Nishati ikoje?
Maji je?
Nk....nk
Kuna maboresho, Udumavu au kushuka viwango?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Three the Hard Way
Katoro - Geita!
Vipi lile gaidi lenu la makengeza linaloliwa tigo gerezaniDemokrasia imepata nafuu ndogo.. lakini uwajibikaji umeshuka kiwango Cha kutisha..
Mimi naona Bora huyu kuliko dikteta JIWE..
Kikwete ni baba wa upigajiUmeme shida
Upigaji wa madili umerudi kwa kasii
Shujaa gani yule mwehu, muuaji katili na mpenda mis
Inategemea maana ya demokrasia unaitafsiri vipi. Wengine huamini kuwa demokrasia ni uhuru wa kufanya fujo yoyote mradi iwe ya kisiasa na kusha ile element ya kutovunja sheria. Lakini nchi zenye demokrasia iliyokomaa kama Kanada hawaamini hivyo; wale walioleta fujo kwa kufunga daraja kugomea chanjo huko Ottawa walikipata kule cha mtema kuni kwa vile walikuwa wanavuja sheria.Nauliza ili swali tukiwa tunaelekea kutimiza mwaka mmoja tangu Rais wa Tanzania John Magufuli afariki akiwa madarakani.
Je, hali ya demokrasia ikoje?
Je, uhuru wa kujieleza ukoje?
Je, ubadhirifu wa mali ya umma ukoje?
Je, halmashauri ufisadi hali ikoje hasa Uviko fund?
Mauwaji je, hasa maeneo ya Sukuma land ie Geita
Hali ya Nishati ikoje?
Maji je?
Nk....nk
Kuna maboresho, Udumavu au kushuka viwango?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Three the Hard Way
Katoro - Geita!
Acha masihala mkuu 👇Nauliza ili swali tukiwa tunaelekea kutimiza mwaka mmoja tangu Rais wa Tanzania John Magufuli afariki akiwa madarakani.
Je, hali ya demokrasia ikoje?
Je, uhuru wa kujieleza ukoje?
Je, ubadhirifu wa mali ya umma ukoje?
Je, halmashauri ufisadi hali ikoje hasa Uviko fund?
Mauwaji je, hasa maeneo ya Sukuma land ie Geita
Hali ya Nishati ikoje?
Maji je?
Nk....nk
Kuna maboresho, Udumavu au kushuka viwango?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Three the Hard Way
Katoro - Geita!
Meza wembeee...kama limekuumaa..hahaha..mwenye vyeti feki bini fisadisti! Shwainiiiii kabisaaUh meivunjia hadhi Jamiiforums kwa kumuita shujaa yule jiwe bin shetwani asiye na haya.
Tutake radhi