Mwaka mmoja bila Mohamedi Mtoi

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kama Kuna siku ambazo ni mbaya basi ni siku Kama ya kesho! Ni mwaka mmoja unatimiza kesho bila Wewe kuwepo. Siku ile ilikua mbaya Sana Sana, sitakaa niisahau kwa namna yoyote ile. Kama Kuna mkono wa mtu kwenye ajali ile Mungu atailipia damu yako. Tunaendelea na mapigano Kaka.
 
Moderator nimeiweka habari hii jukwaa la History, kama sio mahali sahihi Naomba hamishia jukwaa husika. Asante
 
Mimi ni mtanzania, wakati wa uchaguzi ninaangalia chama chenye manifesto inayonipendezea ninakipigia kura.
 
Inaumiza sana huyu kaka basi ndio kazi ya Allah
Safari ya mwisho ya Mohamedi Mtoi hapo Sept 12, 2015.
Yale maswali magumu hayajawahi kujibiwa hadi Leo hii, miezi kumi na mbili baadae kila kitu kimesahaulika.

Swali mojawapo lilikua, nani alikua dereva wa Chabebi siku ile? Kulikua na taarifa pia kuwa dereva Huyo alitoroka na baadae kuhojiwa na kusema alikimbia kwasababu hakuwahi kulazwa hospital! Yule mwingine aliekua nae kwenye gari nae alikua na hadithi ya tofauti.

Abiria wake hawa hawakuumia, lakini inasemekana pia Chabebi hakukutwa na jeraha, wale vijana wa boda boda wanasema Chabebi alikua juu ya sio kule chini! What happened? BAK MANI lusungo Chakaza tpaul zumbemkuu kuna mwenye clue yoyote? Apumzike kwa Amani
 
Ahsante sana Mkuu Elli, hiki kifo kilinigusa sana, jamaa alikuwa mtu poa sana na alikuwa na very bright future kwenye siasa. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

QUOTE="Elli, post: 17588206, member: 9900"]View attachment 398455 Safari ya mwisho ya Mohamedi Mtoi hapo Sept 12, 2015.
Yale maswali magumu hayajawahi kujibiwa hadi Leo hii, miezi kumi na mbili baadae kila kitu kimesahaulika.

Swali mojawapo lilikua, nani alikua dereva wa Chabebi siku ile? Kulikua na taarifa pia kuwa dereva Huyo alitoroka na baadae kuhojiwa na kusema alikimbia kwasababu hakuwahi kulazwa hospital! Yule mwingine aliekua nae kwenye gari nae alikua na hadithi ya tofauti.

Abiria wake hawa hawakuumia, lakini inasemekana pia Chabebi hakukutwa na jeraha, wale vijana wa boda boda wanasema Chabebi alikua juu ya sio kule chini! What happened? BAK MANI lusungo Chakaza tpaul zumbemkuu kuna mwenye clue yoyote? Apumzike kwa Amani[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…