Mwaka mmoja bila Mohamedi Mtoi

Mwaka mmoja bila Mohamedi Mtoi

Talented people die early, foolish and useless live long with very little contribution to mankind
Ina ukweli Aiseeeee kabsaa. Yaani hata humu ndani Kuna watu huwa najiuliza tu....
 
IMG_20150915_084135.jpg


R.I.P Mohamed Mtoi
 
View attachment 398455 Safari ya mwisho ya Mohamedi Mtoi hapo Sept 12, 2015.
Yale maswali magumu hayajawahi kujibiwa hadi Leo hii, miezi kumi na mbili baadae kila kitu kimesahaulika.

Swali mojawapo lilikua, nani alikua dereva wa Chabebi siku ile? Kulikua na taarifa pia kuwa dereva Huyo alitoroka na baadae kuhojiwa na kusema alikimbia kwasababu hakuwahi kulazwa hospital! Yule mwingine aliekua nae kwenye gari nae alikua na hadithi ya tofauti.

Abiria wake hawa hawakuumia, lakini inasemekana pia Chabebi hakukutwa na jeraha, wale vijana wa boda boda wanasema Chabebi alikua juu ya sio kule chini! What happened? BAK MANI lusungo Chakaza tpaul zumbemkuu kuna mwenye clue yoyote? Apumzike kwa Amani
Doh so sad mkuuu... ndo nimetoka nyuma ya nondo but aluta continua!!
 
Back
Top Bottom