Mwaka mmoja umekatika nikisaka demu bila mafanikio

Mwaka mmoja umekatika nikisaka demu bila mafanikio

Aman iwe nanyi watu wa mungu


Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu

Toka niachane na demu wangu mwaka jana mwez kama huu nimekuwa nikisaka mtoto mwingine wa kuwa naye bila mafanikio

Yaan kila siku natafuta demu lakin wap, kila ninaye mtongoza ananitosa na kunikataa

Yaan had namkumbuka yule demu wangu lakin kila nikipiga cm haipatikan

Nakumbuka mimi ndo nilikuwa chanzo cha kuachana baada ya kuanza kumfanyia mzalau na aliponambia nilimwambia kama vp tuachane wasichana mbona wengi sana, lakin sasa natafuta bila mafanikio


Mimi nahis huyu demu aliniloga na kunitupia mikos, kwanini sipat demu hata mwenye sura mbaya mbaya hata kama akiwa choka mbaya na kapinda mgongo

Nifanyeje nipate demu wazee

Mbona nina maisha mazur sana ninakagal ingawa ni kadogo lakin kananisaidia kwa kupigia misele

Ushaul wenu wakuu


LONDON BABY
Utakuwa hunanushirikiano kat ya mkono na mifuko( bahili)
 
Back
Top Bottom