Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Ni karibu mwaka mmoja sasa toka Samia Suluhu aingie madarakani kwa ushindi wa kishindo wa 98% na akiwabwaga kwa mbali wapinzani wake 17, huku mgombea wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akienguliwa kwenye kinyang'anyiro hicho wakati, CHADEMA kikigoma kushiriki uchaguzi mpaka mabadiliko muhimu yafanyike.
Ipi tafakuri yako kwenye mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia?
Baadhi ya Matukio Muhimu
1. Lissu kushtakiwa kwa uhaini, hukumu kutolewa Novemba 6, 2026
Nikiwarudisha nyuma kidogo wakati joto la uchaguzi likiendelea kupanda, April 9, 2025 Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, alikamatwa muda mfupi baada ya kuhutubia kwenye mkutano Mbinga, mkoa wa Ruvuma. Kesho yake April 10 akashtakiwa kwa Uhaini kutokana na yake ya "Tutakinukisha". Baada ya kesi kuendelea zaidi ya mwaka mmoja na vuta nikuvute ya kutosha, hukumu inataratijwa kutolewa Novemba 6. Mpaka hapa mpinzani mkuu akawa ametulizwa kwa kiasi kikubwa!
2. Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba kujiuzulu, kutekwa