Nawasalimu kwa jina la JMT.
Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi.
Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti, barabara za Vijijini ilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa wanachi wa Vijijini lakini mama alisikia kilio na Sasa matokeo yanaonekana.
Sio tuu barabara za changarawe na madaraja yanajengwa bali hadi Vijijini huko lami zinazidi kutandazwa.
Bado mama ana miaka 4 zaidi,wanaomchukia watampenda wenyewe bila kulazimishwa.
Twende Kazi Mama matunda yako tunayaona👇
View attachment 2175274
View attachment 2175173
View attachment 2175174
View attachment 2175175
View attachment 2175176
View attachment 2175177
View attachment 2175178
View attachment 2175179
View attachment 2175180
View attachment 2175181
View attachment 2175182
View attachment 2175183