Mwaka mmoja wa Samia madarakani, TARURA yafanya mapinduzi ya kufungua Nchi kufika kusikofikika kwa barabara za Vijijini na Mijini

Mh.Rais Samia anajieleza kwa DATA tu......

Neema Inaendelea kulishukia taifa letu pendwa🙏

#Siempre SSH🙏
#Siempre JMT🙏📯📯
 
Wahuni tu njia zimevurugwa huko vijijini utelezi kibao
 
Unatukuzaje ya dunia na yasiyoonekana?!!!!

Ya mh.Rais SSH yanaonekana haswaaaaa.......

Tunaendelea KUYAIMBA....haijalishi🎼🎼📯📯📯

#Siempre SSH🙏

Mama laiti angeacha na na biashara ya kuzuia mchakato wa katiba mpya mbona angejikusanyia makerubi wa kumwaga?
 
mbona umekuwa ukimpigia sana mama chepuo?

hivi una habari miaka 61 ya uhuru na kuongozwa na Chama bovu mpaka leo hii hapo kwenu njombe wanafunzi wa mdete primary school wanakaa chini?

sasa maendeleo yapo wapi hapo kama changamoto ndogo tu mama anashindwa kuzitatua
 
Kama US watu wanalala nje hawana nyumba sembuse Tanzania?

Kila kitu ukisubiria Rais na CCM unafeli,hao wanakijiji wanatakiwa wajichange serikali iongeze nguvu..

Wakisubiria serikali watasubiria hadi kuzeeka, serikali ina mambo mengi ya kufanya kwa mujibu wa vipaombele vilivyopo,hakuna rasilimali za kutosha kila sehemu na kukidhi kila kitu,sio swala la ccm wala Chadomo..

Jiunge na timu ya Ushindi ya mama ,binafsi ananikosha Sana maana napenda kuona Nchi inaendelea, investors wanaleta mapesa tunapata soko na ajira 👇

 

Attachments

  • Screenshot_20220528-101620.png
    149.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220528-101832.png
    138.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220528-101326.png
    143.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220528-101116.png
    97.1 KB · Views: 1
  • IMG_20220529_114250_339.jpg
    1.1 MB · Views: 1
  • IMG_20220529_114343_227.jpg
    1.2 MB · Views: 1
Kazi inaendelea 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220530-191155.png
    161.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220522-164714.png
    220.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220530-120751.png
    144.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20220530-120701.png
    156.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…