hahahahah si tulikuwa wote siku ile huku chit chatumenikuta jf ndani ya chit - chat, nili enjoy sana
hahahahah si tulikuwa wote siku ile huku chit chat
Shida gani hiyo hata kushindwa kupokea simu we Mwanyasi?
Dah! For the first time New Year imenikuta sober bila kupuliza blazeee. Nilikuwa nimembeba mwanangu namuimbia Happy New Year. My lil' precious gift.
Uwe sober mwaka mzima best....unajua watu8 anapenda sana kukuona uko hivyo.
hahaha. watu8 bwana. Haya best usijali, na sio mwaka mzima tu, for the rest of my life, help me God.