Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri Mkuu
Ila hiyo sio shida Sana, muhimu uiweke kwenye bajeti kabisa. Mfano kila siku unywe bia 4 x 2,500 = 10,000View attachment 1686732
View attachment 1686732Yani naomba niache hii kitu ila ndiyo kwanza nimepita sehemu wanauza aise imebidi niombe na kiti, ka posho ka leo kanaishia hapa daaah.
Ngoja nijaribu hivyo nione matokeo yake, ahsante kwa ushauri.Ila hiyo sio shida Sana, muhimu uiweke kwenye bajeti kabisa. Mfano kila siku unywe bia 4 x 2,500 = 10,000
Kwahiyo kwa mwezi unatenga zako 300,000 kwa ajili ya kilaji.
Ukifanya hivyo, naamini utaweza kuweka malengo na kuyatekeleza.
Yes you can 💪💪
Niliwahi kufanya Kama wewe, nilichoambulia ni kula starehe tu.Sijaweka malengo
Saizi lolote nalokutana nalo,ilimradi naweza kulifanya, Nafanya.
Nmekuja kugundua mambo ya malengo. Unapojikuta hujayafikia Unakua na msongo wa mawazo.
Mjasiliamali tu pamoja na kulima lima
Hapo kwenye kuhonga hapana aise sio ulevi wangu hata kidogo.Ukiweza kufanya hivyo itasaidia, ni sawa na kutenga bajeti ya hela ya kuhonga kwa wale wenzangu na mie😂😂