Mwaka mpya na mambo mapya JF: Nitawa-unblock wote niliowa-block nikitegemea nao watabadilika na kuwa waungwana katika maandiko yao JF

Mwaka mpya na mambo mapya JF: Nitawa-unblock wote niliowa-block nikitegemea nao watabadilika na kuwa waungwana katika maandiko yao JF

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nina list ndefu.

Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like.

2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025.

Nawatakia maandalizi mema ya Ujio wa 2025.
 
Hata mimi nilikuwa kama wewe baadae nikajifunza uvumilivu, ustahimilivu na kuwaelewa binadamu kiundani na kwa mapana sana.
 
Bado najifikilia juu ya kumsamehe yeyote aliyenikosea hapa jamvini ,whether nimsamehe au nimbebe moyoni kuelekea mwaka mpya
 
Kuwa mvumilivu ACHA kisirani!

Hivi vimiandiko vya hapa ni vya kukutia hasira !!?Hadi ublock watu!!
 
Block inasaidia sana kuondoa mizozo ya kijinga isiyo na muelekeo wala tija.

Upande huu hakuna unblock ya mwisho wa mwaka wala nini.
 
Nina list ndefu.

Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like.

2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025.

Nawatakia maandalizi mema ya Ujio wa 2025.
Umeingiza Tsh ngapi kwa kuwablock? Ukiwa-unblock watafaidika nini? Acha kujipa umuhimu kwa fake ID. Huo ni udhaifu wako umeamua kuuweka hadharani.
 
Back
Top Bottom