Umerudi mle mle mwa matusiOnes a fool always a fool.....ila kuna watu mko serious namambo yakijinga eeh had mnapigana tofali
NimeshangaaOnes a fool always a fool.....ila kuna watu mko serious namambo yakijinga eeh had mnapigana tofali
We kichogo kweliOnes a fool always a fool.....ila kuna watu mko serious namambo yakijinga eeh had mnapigana tofali
Kuna watu wanakera sanaKumblock member ambaye wala humjui zaidi ya fake ID yake tu ni dalili ya udhaifu.
Pamoja na akili ndogo.Kumblock member ambaye wala humjui zaidi ya fake ID yake tu ni dalili ya udhaifu.
Umeingiza Tsh ngapi kwa kuwablock? Ukiwa-unblock watafaidika nini? Acha kujipa umuhimu kwa fake ID. Huo ni udhaifu wako umeamua kuuweka hadharani.Nina list ndefu.
Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like.
2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025.
Nawatakia maandalizi mema ya Ujio wa 2025.
Once a fool always a fool✅ wewe mpuuzi fanya jitihada kwenye kiingereza chako.Ones a fool always a fool.....ila kuna watu mko serious namambo yakijinga eeh had mnapigana tofali