Kumbe umekaa siku moja tu!! Omba usije enda cello ya pale central shimoni, hujui ni asubui au mchana au usikuWadau wasalaam.Toka nizaliwe sijawahi kulala Police ila tarehe 2 nililala. wadau pale nilivua viatu na nikakaguliwa nikawakuta jamaa wawili wakituhumiwa kuiba ndizi na kuku.
Wadau pale sakafuni palikua na baridi la kufa mtu na sio poa.
Ndugu zangu fanya yote ila pale sio poa yani.
Tarehe 3 nilipata dhamana nikatoka ila mpaka sasa kisaikolojia sipo sawa wadau.
Kosa ni mambo ya kusherehekea kupita kiasi na kuleta chaos kitaa.
Wadau Police sio poa
Amesema alikubaka wewe rudia tena kusoma BongeBado sijakuelewa mkuu
Ulifanya nini?
Ushawahi kuingia kwenye ile kibanda alicholazwa Bushmen kwa kosa la kuwinda Swala kumbe anawinda Mbuzi wa mtu?Sasa polisi siku moja tu mpaka sasa haupo sawa kisaikolojia π
Chaos ndio nini mkuuKosa ni mambo ya kusherehekea kupita kiasi na kuleta chaos kitaa.
Alileta chaos kitaaπ π π€£π€£πBado sijakuelewa mkuu
Ulifanya nini?
Ungeleta Chaos na humo utuoWadau wasalaam.Toka nizaliwe sijawahi kulala Police ila tarehe 2 nililala. wadau pale nilivua viatu na nikakaguliwa nikawakuta jamaa wawili wakituhumiwa kuiba ndizi na kuku.
Wadau pale sakafuni palikua na baridi la kufa mtu na sio poa.
Ndugu zangu fanya yote ila pale sio poa yani.
Tarehe 3 nilipata dhamana nikatoka ila mpaka sasa kisaikolojia sipo sawa wadau.
Kosa ni mambo ya kusherehekea kupita kiasi na kuleta chaos kitaa.
Wadau Police sio poa
kama wadau,Wadau wasalaam.Toka nizaliwe sijawahi kulala Police ila tarehe 2 nililala. wadau pale nilivua viatu na nikakaguliwa nikawakuta jamaa wawili wakituhumiwa kuiba ndizi na kuku.
Wadau pale sakafuni palikua na baridi la kufa mtu na sio poa.
Ndugu zangu fanya yote ila pale sio poa yani.
Tarehe 3 nilipata dhamana nikatoka ila mpaka sasa kisaikolojia sipo sawa wadau.
Kosa ni mambo ya kusherehekea kupita kiasi na kuleta chaos kitaa.
Wadau Police sio poa
π€£π€£π€£π€£Sasa polisi siku moja tu mpaka sasa haupo sawa kisaikolojia π