πππasante sjapata cheo hicho ilaPoleeee mama mchungaji. Mungu akufanyie wepesi upone kwa haraka
Kweli?? Basi siku zote najua wewe ni mama mchungaji ππππππasante sjapata cheo hicho ila
Aiii Hapana kwa kweliKweli?? Basi siku zote najua wewe ni mama mchungaji πππ
Pole mwaya cheupe dawa.Nyumbani naumwa tuu cc Fake P
Kazi kazi ila halali mengine mbwembweHeri ya mwaka mpya 2025.
Nimejiuliza ni namna gani kila mmoja wetu alivyoupokea mwaka nikagundua kila mmoja atakuwa ameupokea akiwa katika situation fulani. Kuna waliokuwa kwenye bata, wengine nyumbani na familia, wengine hospital, wengine safarini, wengine kazini n.k
Hebu share na sisi hapa tujue na kupata experience ya namna ulivyoupokea mwaka mpya 2025.
Mimi binafsi nimeupokea mwaka nikiwa kazini. Nilikuwa kwenye machine hii hapa chini niki load mzigo kwenye trucks katika harakati za uzalishaji.View attachment 3189823
Nawatakia kila la kheri kwenye huu mwaka unaonza leo. Ukawe wa mafanikio kwa kila mmoja wetu.
Maghayo Dr Lizzy Ghayo TheMongo Barbarian Deeboyfrexh mshamba_hachekwi Lamomy ephen_ min -me Fake P Leejay49 Evelyn Salt
Mideko Mamndenyi Mshana Jr Kiranga mzabzab
Joanah Joannah To yeye Nikifa MkeWangu Asiolewe BlueIvy Hannah monde arabe nzalendo makaveli10 Kasie Darlin Carleen Inside10
Huyu ana moyo ya kijeshi sanaππDah.
You're so cold.
Nimechek memes moja ETI KAMA UMEENDA KAZINI MPAKA LEO..ONDOKA HAPO WATAKUUAππNipo job
Rafiki mbaya huyo.Huyu ana moyo ya kijeshi sanaππ
Watalii Kwan Kuna mbuga πSio kwamba watalii ni wengi? Au ndio utalii wa ndani?
Kumbe Rombo na Marangu hamsikilizani?Mbona apansia ni kilugha gani
Huyo namjua namjua. Anataka beer wakati Mimi nimeokokaDah.
You're so cold.
πππAiii Hapana kwa kweli
Huo ndio msimu wa kukulana π€£A
Alaf dar naona wanaongoza Yani usitoke safar usiku siku za sikukuu ama weekend nyumba za kulala wageni full had hotel ππ
Wenzetu wanaenjoy sanaππHuo ndio msimu wa kukulana π€£