Mwaka mpya umekukuta wapi na ukifanya nini?

Mwaka mpya umekukuta wapi na ukifanya nini?

Tulipata ajali ya gari washikaji wawili wa mtaani walifariki, mm nilivunjika collar borne ya mkono wa kulia, wengine waliugulia miezi kukaa sawa. Wazazi walisikitika sana kwa sababu kwanza ilikuwa kama tulitoroka huo usiku!
Mlikuwa mwendokasi sana au ndo aliyekuwa anaendesha hakuwa amekwiva barabarani?!
 
Kuna janga lilinipata nikiwa form 2, 1999 tukiwa kwenye harakati za kuhama viwanja kusherekea Mwaka mpya...nilioata funzo la kutulia kbs kwenye sherehe za mfananowa kukesha!
Ulikutwa na nini ndugu
 
ukisheherekea sana mwaka mpya unajiandaa kuumia tu😂

unajiwekea ahadi mbalimbali

kadri mwaka unavyozidi kwenda na hujatimiza ahadi, unaumia
Uko sawa kaka. Lakini mwisho wa siku lazima ujiwekee goals unazotaka ku achieve ndani ya muda fulani. Labda tofauti tu ni kuwa wewe hutaki kuset goals zako kuendana na mwaka mpya
 
Gesti zimejaa. Hapa mtaani ni milio ya vishindo vya vitanda, kwichi!kwichi!kwichi!kwichi!. Huku ni milio ya nyamanyama ya makalio zikigongana pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!

Jamaa yangu anauza pharmacy anasema kauza condom za laki 2 kwa usiku mmoja.

P2 zimenunuliwa mno. Na hapo bado kuuzwa azuma
😃😃😃
 
A
Jamaa wa pharmacy ana mahesabu makali mno. Anajua kutarget misimu ya kukulana. Anasema hapo ndio kuna hela mno. Ndio maana pharmacy nyingi zimekaa karibu na maeneo ya starehe au karibu na vyuo au katikati kwenye center yenye watu wengi, kuna kukulana mno. Ni Mkongwe wa sekta hiyo kwa hiyo anajua anachokifanya 🤣
Alaf dar naona wanaongoza Yani usitoke safar usiku siku za sikukuu ama weekend nyumba za kulala wageni full had hotel 😂😂
 
Back
Top Bottom