Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 1,083
- 1,628
Mkuu vipiHeri ya mwaka mpya 2025.
Nimejiuliza ni namna gani kila mmoja wetu alivyoupokea mwaka nikagundua kila mmoja atakuwa ameupokea akiwa katika situation fulani. Kuna waliokuwa kwenye bata, wengine nyumbani na familia, wengine hospital, wengine safarini, wengine kazini n.k
Hebu share na sisi hapa tujue na kupata experience ya namna ulivyoupokea mwaka mpya 2025.
Mimi binafsi nimeupokea mwaka nikiwa kazini. Nilikuwa kwenye machine hii hapa chini niki load mzigo kwenye trucks katika harakati za uzalishaji.View attachment 3189823
Nawatakia kila la kheri kwenye huu mwaka unaonza leo. Ukawe wa mafanikio kwa kila mmoja wetu.
Maghayo Dr Lizzy Ghayo TheMongo Barbarian Deeboyfrexh mshamba_hachekwi Lamomy ephen_ min -me Fake P Leejay49 Evelyn Salt
Mideko Mamndenyi Mshana Jr Kiranga mzabzab
Joanah Joannah To yeye Nikifa MkeWangu Asiolewe BlueIvy Hannah monde arabe nzalendo makaveli10 Kasie Darlin Carleen Inside10
Hujanimention apo asee
😄ila amna noma shukrani, heri ya mwaka mpya kwako pia