Wakuu, kwangu mwaka 2011 ulianza vby sn lkn umeisha vzr sn. Ni mwaka ambao mchezo wa infideliy almanusra uniletee balaa ndoani mwangu. Kuna uzi niliwah kuanzisha humu kuwa small hous nlokuwa nayo balaa. Ninayo mengi sn ya kumshukuru Mungu kwa mwaka huu lakn 1wapo kubwa ni kuumaliza huu mwaka nikiwa huru, kwa mke wangu pekee. Nawapa ushuhuda wazee wenzangu humu kuwa hakuna raha kama kuachana na vifungo vya smal hous. Najua ni wengi humu kwa mda mrefu hawajawa na uhuru wa kumwambia wife awapokelee simu wakiwa mbali nayo. Nawashukuru sn wanajf wote kwa shaur mbalmbal hapa. Kwa namna ya kipekee namshukuru Ashadii ambaye kuna ujumbe wenye maneno ma3 aliowah kuucctza hapa, ambao umekuwa kama silaha wakati nadai uhuru wa moyo wangu. Nawapa moyo sana wazee wenzangu ambao bado wamenasa ktk mitego ya smal hous, waendelee kupambana na mioyo yao, cku 1 watatoka.