jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
....mzee, hili nadhani ni ngumu kumesa kwa wanaume wengi tofauti na kina mama, ...ila ukimletea mke mtoto baada ya ndoa, huo moto wake kuuzima labda aje ziraili!
Watoto waliopatikana kabla ya ndoa….Hili ni gumu sana especially kwa wanawake kuliko kwa wanume….Linachangiaje ku-destabilize ndoa??...Naomba michango ya wadau!!
We jG mlikua na miadi ya kupelekana wapi?
Wakuu, kwangu mwaka 2011 ulianza vby sn lkn umeisha vzr sn. Ni mwaka ambao mchezo wa infideliy almanusra uniletee balaa ndoani mwangu. Kuna uzi niliwah kuanzisha humu kuwa small hous nlokuwa nayo balaa. Ninayo mengi sn ya kumshukuru Mungu kwa mwaka huu lakn 1wapo kubwa ni kuumaliza huu mwaka nikiwa huru, kwa mke wangu pekee. Nawapa ushuhuda wazee wenzangu humu kuwa hakuna raha kama kuachana na vifungo vya smal hous. Najua ni wengi humu kwa mda mrefu hawajawa na uhuru wa kumwambia wife awapokelee simu wakiwa mbali nayo. Nawashukuru sn wanajf wote kwa shaur mbalmbal hapa. Kwa namna ya kipekee namshukuru Ashadii ambaye kuna ujumbe wenye maneno ma3 aliowah kuucctza hapa, ambao umekuwa kama silaha wakati nadai uhuru wa moyo wangu. Nawapa moyo sana wazee wenzangu ambao bado wamenasa ktk mitego ya smal hous, waendelee kupambana na mioyo yao, cku 1 watatoka.
duhhhhh,....anyway, bado na masaa 24 yajayo ya kubadilisha mawazo,...maazimio sio katiba kwamba lazima iwe hivyo....
Yaani wangu Lizzy we acha haya mambo usitake kujua zaidi...
Sasa hapo usitake kujua nilikuwa mitaa gani hapo..... lol
jG umenifanya nitake kujua zaidi ya mwanzo.
Ila ngoja tuache hicho kipande, je angefika leo hii ungetuhadithia nini?Kwamba hutaki ndoa maana uaminifu ni ZERO (0)?
Hahahaha. . . ngoja nifanye kublock watu FB iwe resolution yangu ya mwaka mpya.Ushaanza kuchimba zaidi, umemuacha yule aliyekuwa blocked kwenye FB lol.....
Yah suala la uaminifu lazima lijadiliwe na ntachangia kwa herufi kubwa zote
kulikuwa na umuhimu gani kuwa na small house?je kwa sasa nyumba ndogo na kubwa wapi unaona kuzuri ungepewa uhuru?Wakuu, kwangu mwaka 2011 ulianza vby sn lkn umeisha vzr sn. Ni mwaka ambao mchezo wa infideliy almanusra uniletee balaa ndoani mwangu. Kuna uzi niliwah kuanzisha humu kuwa small hous nlokuwa nayo balaa. Ninayo mengi sn ya kumshukuru Mungu kwa mwaka huu lakn 1wapo kubwa ni kuumaliza huu mwaka nikiwa huru, kwa mke wangu pekee. Nawapa ushuhuda wazee wenzangu humu kuwa hakuna raha kama kuachana na vifungo vya smal hous. Najua ni wengi humu kwa mda mrefu hawajawa na uhuru wa kumwambia wife awapokelee simu wakiwa mbali nayo. Nawashukuru sn wanajf wote kwa shaur mbalmbal hapa. Kwa namna ya kipekee namshukuru Ashadii ambaye kuna ujumbe wenye maneno ma3 aliowah kuucctza hapa, ambao umekuwa kama silaha wakati nadai uhuru wa moyo wangu. Nawapa moyo sana wazee wenzangu ambao bado wamenasa ktk mitego ya smal hous, waendelee kupambana na mioyo yao, cku 1 watatoka.
Basi fanya responsively!!
Ni ngumu na ndiyo maana ni muhimu kufanya maamuzi magumu,
Binafsi nimefanya yafuatayo
1. Sihitaji mawasiliano ya namna yoyote na Ex GFs wangu wote...Hata wanapojaribu kunitafuta nawaeleza kuwa nilishafunga gate na fungua nilizitumbukiza kwenye shimo la choo....Tena ni kule Jangwani ambao mafuriko yamepita na kuzoa kila kitu!
2. Bibi DC ameelezwa hayo, na nimemuomba kufanya kama mimi, if possible. Vinginevyo aendelee but at her own risk!
3. Memory chafu zinaponiandama, najipa moyo kwamba my wife is the best of all.....Hata siku moja siipi nafasi akili yangu imuweke my wife wangu kwenye nafasi nyingine zaidi ya hiyo!
Yaani wangu Lizzy we acha haya mambo usitake kujua zaidi...
Sasa hapo usitake kujua nilikuwa mitaa gani hapo..... lol
Mkuu DC, nilitaka nikugongeee big like lakini bado najishauri but anyway ngoja nigonge tu!!!
Umemwaga MAPOINT ya nguvu, ukafika hapa kwenye red ukaharibu banaaa..
4. Uaminifu….Hapa ni pagumu sana ila ni eneo nyeti…Ukishindwa basi tumia kanuni ambazo wadau walileta na kujadili hapa….Cheating should be avoided but doing it responsively ni sehemu ya uungwana kwenye ndoa
Mkuu hapa umemaliza kila kitu.....
Babuu hili suala wajukuu zako wengine tuliowahi kucheza mechi za mchangani na linatupa mtihani hadi kufikia kuapa kuwa labda ndoa itafuata wakati hawa wakina Malaika weshakuwa watu wazima kabisa.....
2. Watoto waliopatikana kabla ya ndoa….Hili ni gumu sana especially kwa wanawake kuliko kwa wanume….Linachangiaje ku-destabilize ndoa??...Naomba michango ya wadau!!