In 2019, mwaka mpya wa kibiblia ulianza April 6th 2019 (juzi).
Siku hiyo ndio ilikuwa siku ya kwanza, ya mwezi wa kwanza wa kibiblia unaoitwa Abib.
Sometimes milango ya kiroho ya maombi ya muda mrefu huanza kufunguka kipindi hichi.
Sometimes milango hiyo ya kiroho hufunguka pia kipindi cha mwezi wa saba wa kibiblia (unaoitwa Ethanim) ambao kwa mwaka huu una angukia mwezi October.
Of course maombi yanaweza kujibiwa wakati wowote.
So, heri ya mwaka mpya (wa kibiblia).