Mwaka mwingine mawazo mengine

JOESKY

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
816
Reaction score
2,034
Habari za majukumu ndugu wanajukwaa?

Mimi napenda kufahamu zile decent websites za kuomba kazi nchi za nje kama Norway, Sweeden, Canada, Turkey, Holland, Malta, Nk.

pia napenda kufahamu kwa wale tusio na elimu tunaotarajia kazi za unprofessional kama vile fruit picking, viwandani, house keeping, kulea wazee, kazi za shambani NK.

Ni webiste zipi nzuri ambazo ukiapply lazima utapigiwa simu au utapata mrejesho wa kutoka uko nje?

Maana ni websites nyingi sana ni za matapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…