Tulizana Mkuu mwaka mmoja si muda mrefu kuanza kuingiwa na wasiwasi.
Kula karanga kunaongeza tu kiasi cha manii, na haimaanishi sasa kwamba atazalisha mbegu hai za kutosha. Atakachokuwa nacho ni uwingi tu wa ule ute unaobeba mbegu. Lakini hiyo ina faida pia kwakuwa inaweza kusaidia kuongeza volume na hivyo kurahisisha swimming ya mbegu kuelekea kwenye ovary. Halafu theory ya mtoto wa kiume au wa kike haina uhusiano kabisa na kiasi cha mbegu ulichozalisha au ulaji wa karanga au korosho. Theory ya mtoto wa kiume au wa kike inajitegemea kabisa. Karanga hazipelekei kupata mtoto wa kiume.Jitahidi kula karanga ili kuongeza uzalishaji wa manii zenye ubora na kasi nzuri. Cha kufanya chukua karanga kavu kibakuli kimoja. ziloweke kwenye maji kwa muda wa saa moja. kula zote weka utaratibu huo angalau kila siku jioni. utaja niambia matokeo yake na especially ukifuatilia na kalenda ya siku gani mimba inaweza kutungwa. ukushafahamu vizuri kalenda mwanche mamaa joto liendelee kumpanda ili siku yenyewe ikifika unashusha scad za uhakika. utaniambia kama hujaanza na mtoto wa kiume
Wanaweza wasiwe na matatizo yoyote. Isipokuwa kunaweza kuwa na tatizo la kufululizo kupiga game. Ukishakuwa unafululiza kupiga game, ina maana utaanza kutoa mbegu ambazo hazijakomaa. Siku yai linapotoka, mbegu za kiume zinakuwa hazina uwezo bado wa kulifertilize. Jifunze mzunguko wa siku za mwenzako, na fanya timingi ya kuanzia siku kumi na nne kabla ya kupata MP nyingine. Siku nne kabla ya siku hiyo usifanye mapenzi, na ule vyakula vyenye virutubisho vizuri yakiwemo matunda pamoja na karanga kama walivyoshauri wengine.Mtakuwa mna matatizo makubwa...sidhani khapo kama inshu ni timing....consult medical plz!!
Jitahidi kula karanga ili kuongeza uzalishaji wa manii zenye ubora na kasi nzuri. Cha kufanya chukua karanga kavu kibakuli kimoja. ziloweke kwenye maji kwa muda wa saa moja. kula zote weka utaratibu huo angalau kila siku jioni. utaja niambia matokeo yake na especially ukifuatilia na kalenda ya siku gani mimba inaweza kutungwa. ukushafahamu vizuri kalenda mwanche mamaa joto liendelee kumpanda ili siku yenyewe ikifika unashusha scad za uhakika. utaniambia kama hujaanza na mtoto w
Wanaweza wasiwe na matatizo yoyote. Isipokuwa kunaweza kuwa na tatizo la kufululizo kupiga game. Ukishakuwa unafululiza kupiga game, ina maana utaanza kutoa mbegu ambazo hazijakomaa. Siku yai linapotoka, mbegu za kiume zinakuwa hazina uwezo bado wa kulifertilize. Jifunze mzunguko wa siku za mwenzako, na fanya timingi ya kuanzia siku kumi na nne kabla ya kupata MP nyingine. Siku nne kabla ya siku hiyo usifanye mapenzi, na ule vyakula vyenye virutubisho vizuri yakiwemo matunda pamoja na
Unapoleta mada kama hizi taja na umri wako na umri wa mke wako, maana mimi Wasichana niliosoma nao wakinilalamikia hawapati Mimba wala hawanishangazi maana kipindi chetu hakukuwa na kondom na wametowa mimba nyingi sana.
Tayari umeshajitambulisha umri wako, wewe ni walewale wannabee.....umri na timing vina mahusiano gan?
Wanaweza wasiwe na matatizo yoyote. Isipokuwa kunaweza kuwa na tatizo la kufululizo kupiga game. Ukishakuwa unafululiza kupiga game, ina maana utaanza kutoa mbegu ambazo hazijakomaa. Siku yai linapotoka, mbegu za kiume zinakuwa hazina uwezo bado wa kulifertilize. Jifunze mzunguko wa siku za mwenzako, na fanya timingi ya kuanzia siku kumi na nne kabla ya kupata MP nyingine. Siku nne kabla ya siku hiyo usifanye mapenzi, na ule vyakula vyenye virutubisho vizuri yakiwemo matunda pamoja na karanga kama walivyoshauri wengine.