Mwaka mzima katika ndoa bila mtoto

Mwaka mzima katika ndoa bila mtoto

nojo

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
90
Reaction score
10
Habari zenu wana JF!

Nianze ktk mada, mim ni kijana wa kiume ambaye nipo ktk ndoa kwa muda wa mwaka sasa ila cjabahatika mtoto.mpaka sasa huwa nahic labda nakosea timing ya kutupia madude,plz kwa wale wenye watoto kuanzia wawili kwenda mbele naomben msaada wa timing nzuri ya kutupia ili nijaribu kwan napenda kupata watoto kwa sasa
 
Tafuta thread yenye heading siku za kupata mimba tumeelezea vema sana, afu mwelekeze wife wako
 
Tulizana Mkuu mwaka mmoja si muda mrefu kuanza kuingiwa na wasiwasi.

naona kama mrefu ndugu yangu na pia napenda kujua hata timing ili hata endapo nikajariwa kupata niweze kutumia njia sahihi ya uzaz wa mpango
 
Jitahidi kula karanga ili kuongeza uzalishaji wa manii zenye ubora na kasi nzuri. Cha kufanya chukua karanga kavu kibakuli kimoja. ziloweke kwenye maji kwa muda wa saa moja. kula zote weka utaratibu huo angalau kila siku jioni. utaja niambia matokeo yake na especially ukifuatilia na kalenda ya siku gani mimba inaweza kutungwa. ukushafahamu vizuri kalenda mwanche mamaa joto liendelee kumpanda ili siku yenyewe ikifika unashusha scad za uhakika. utaniambia kama hujaanza na mtoto wa kiume
 
Mbona una muda mfupi sana yaani mwaka mmoja tayari roho iko juu mkuu.

Any way sijui umri wenu pia, ulishafanya uchunguzi wa afya zenu.

Wazee wa timing watakuja kuwa online utapata majibu mengi mazuri, maana mimi ninachojua ninaweza kukuovadoze kwa muda mrefu mno, utachoka bure.
 
Mtakuwa mna matatizo makubwa...sidhani khapo kama inshu ni timing....consult medical plz!!
 
Mnatakiwa wote kwenda kucheki afya na kurudi na majibu hapa kwa msaada zaidi kama itakuwa hujapata
 
Vuta subira na uombe kwa imani yako hakika utasaidika.Si vibaya pia mkimwona daktari.
Pole.
 
Anza kwa daktari ndo uje hapa mkuu. Hapa utaambulia kupata maoni kwa wingi ushauri wa kitaalam kidogo. Hutajua kipi cha kuzingatia.
 
Jitahidi kula karanga ili kuongeza uzalishaji wa manii zenye ubora na kasi nzuri. Cha kufanya chukua karanga kavu kibakuli kimoja. ziloweke kwenye maji kwa muda wa saa moja. kula zote weka utaratibu huo angalau kila siku jioni. utaja niambia matokeo yake na especially ukifuatilia na kalenda ya siku gani mimba inaweza kutungwa. ukushafahamu vizuri kalenda mwanche mamaa joto liendelee kumpanda ili siku yenyewe ikifika unashusha scad za uhakika. utaniambia kama hujaanza na mtoto wa kiume
Kula karanga kunaongeza tu kiasi cha manii, na haimaanishi sasa kwamba atazalisha mbegu hai za kutosha. Atakachokuwa nacho ni uwingi tu wa ule ute unaobeba mbegu. Lakini hiyo ina faida pia kwakuwa inaweza kusaidia kuongeza volume na hivyo kurahisisha swimming ya mbegu kuelekea kwenye ovary. Halafu theory ya mtoto wa kiume au wa kike haina uhusiano kabisa na kiasi cha mbegu ulichozalisha au ulaji wa karanga au korosho. Theory ya mtoto wa kiume au wa kike inajitegemea kabisa. Karanga hazipelekei kupata mtoto wa kiume.
 
Mtakuwa mna matatizo makubwa...sidhani khapo kama inshu ni timing....consult medical plz!!
Wanaweza wasiwe na matatizo yoyote. Isipokuwa kunaweza kuwa na tatizo la kufululizo kupiga game. Ukishakuwa unafululiza kupiga game, ina maana utaanza kutoa mbegu ambazo hazijakomaa. Siku yai linapotoka, mbegu za kiume zinakuwa hazina uwezo bado wa kulifertilize. Jifunze mzunguko wa siku za mwenzako, na fanya timingi ya kuanzia siku kumi na nne kabla ya kupata MP nyingine. Siku nne kabla ya siku hiyo usifanye mapenzi, na ule vyakula vyenye virutubisho vizuri yakiwemo matunda pamoja na karanga kama walivyoshauri wengine.
 
Jitahidi kula karanga ili kuongeza uzalishaji wa manii zenye ubora na kasi nzuri. Cha kufanya chukua karanga kavu kibakuli kimoja. ziloweke kwenye maji kwa muda wa saa moja. kula zote weka utaratibu huo angalau kila siku jioni. utaja niambia matokeo yake na especially ukifuatilia na kalenda ya siku gani mimba inaweza kutungwa. ukushafahamu vizuri kalenda mwanche mamaa joto liendelee kumpanda ili siku yenyewe ikifika unashusha scad za uhakika. utaniambia kama hujaanza na mtoto w
 
Wanaweza wasiwe na matatizo yoyote. Isipokuwa kunaweza kuwa na tatizo la kufululizo kupiga game. Ukishakuwa unafululiza kupiga game, ina maana utaanza kutoa mbegu ambazo hazijakomaa. Siku yai linapotoka, mbegu za kiume zinakuwa hazina uwezo bado wa kulifertilize. Jifunze mzunguko wa siku za mwenzako, na fanya timingi ya kuanzia siku kumi na nne kabla ya kupata MP nyingine. Siku nne kabla ya siku hiyo usifanye mapenzi, na ule vyakula vyenye virutubisho vizuri yakiwemo matunda pamoja na
 
cdhan kama aliniongopea but nilishawahi kwenda kucheck mimi kama mimi na doctor akadhibitisha kuwa npo poa na kwa mara ya pili nilipoenda na mwenzangu ndpo akagundulika kuwa mirija yake inaitajika kusafishwa,ivo alisafishwa kama mara 4 kwa vifaa vyao na baada ya hapo ndo timing tunatafuta kwan tuna kama miezi 3 toka asafishwe
 
Unapoleta mada kama hizi taja na umri wako na umri wa mke wako, maana mimi Wasichana niliosoma nao wakinilalamikia hawapati Mimba wala hawanishangazi maana kipindi chetu hakukuwa na kondom na wametowa mimba nyingi sana.
 
umri na timing vina mahusiano gan?
 
kama ni umri faham ya kuwa tupo ktk kund la age between 31 na 25 @ matola
 
Wanaweza wasiwe na matatizo yoyote. Isipokuwa kunaweza kuwa na tatizo la kufululizo kupiga game. Ukishakuwa unafululiza kupiga game, ina maana utaanza kutoa mbegu ambazo hazijakomaa. Siku yai linapotoka, mbegu za kiume zinakuwa hazina uwezo bado wa kulifertilize. Jifunze mzunguko wa siku za mwenzako, na fanya timingi ya kuanzia siku kumi na nne kabla ya kupata MP nyingine. Siku nne kabla ya siku hiyo usifanye mapenzi, na ule vyakula vyenye virutubisho vizuri yakiwemo matunda pamoja na karanga kama walivyoshauri wengine.

Maelezo mazuri ongezea na haya hapa.......Aaaah kumbe shida yako ni timing! sasa ni hivyi kuanzia siku ya 11-15 toka siku yake ya kwanza kupata bleeding anaweza kupata mimba,kwa sababu peak ya ovulation(yai linakuwa limekomaa na kuachiliwa kutoka kwenye ovary) ni siku ya 14.
kwa maana hiyo mbegu za mwanaume zinawekuwa hai mpaka zaidi ya masaa 72 hivyo zikikutana na yai mimba inapatakana ndo maana nimeeleza kuanzia siku ya 11,12,13, 14,15 zote hizi umpe maji ya uzima.siku ya 15 ni kwa sababu yai likiachiliwa linaweza kuishi 24hrs kabla ya kuharibika kama halijakutana na mbegu ya mwanaume hivyo siku ya 15 bado aweza kupata mimba.
 
Back
Top Bottom