Mwaka mzima katika ndoa bila mtoto

sasa wadau nashukuru kwa maushaur yenu ya timing,je ni interval ip ya kupga ni nzuri kipnd cha kutafuta mtoto?kwan mim huwa napumzika siku moja au mbili kisha napga tena,nipe msaada kwa hilo pia kwan cjui mbegu za kiume hukomaa kwa muda gan
 
Poleni sana,Sijawahi kusikia kwamba mirija huwa inasafishwa.Huyo daktari nina mashaka naye.na kma sikosei mtakuwa mnaenda kwa daktari huyo huyo kila mara,na hajui anachokifanya.
 
Poleni sana,Sijawahi kusikia kwamba mirija huwa inasafishwa.Huyo daktari nina mashaka naye.na kma sikosei mtakuwa mnaenda kwa daktari huyo huyo kila mara,na hajui anachokifanya.

ndiyo hufanyika procedure inaitwa tubal plasty ni kwa operation ila hiyo anaisema sifikiri ndo hii.
 

jamani tusaidiane hapa kila siku huwa nachanganya hapa na kila mtu huwa anaeleza lake!
Hiyo siku ya11-15 zinahesabiwa siku ya kwanza kuona damu au siku ya mwisho kesho yake ndo day 1???'
 
jamani tusaidiane hapa kila siku huwa nachanganya hapa na kila mtu huwa anaeleza lake!
Hiyo siku ya11-15 zinahesabiwa siku ya kwanza kuona damu au siku ya mwisho kesho yake ndo day 1???'

nijuavyo mimi ni siku ya kwanza kuona damu ndiyo day 1
 
Jitahidi kila siku angalau uwe unatupia kimoja tu......mwezi mzima mfululizo.....itanasa
 

unatakiwa upegi magoli mangapi kila mnapolala ili apate mimba?
 
unatakiwa upegi magoli mangapi kila mnapolala ili apate mimba?

kumpa mimba mwanamke hakutegemei umepiga magori mangapi hata moja tu linatosha kumbuka hata kama ukipiga magori 10 yai linanasa mbegu moja tu, si unajua ukimwaga mara 1 ni milioni 3 lakini ni mbegu moja tu ndiyo inayorutubisha yai.

Nashauri mpunguze magori jamani! jaribu kuona ukijikunja mara 5=milioni 15 loh unaweza mfanye mwenzio ashinde anatirika maji ya uzima siku nzima maana mengine hushindwa kuendelea mbele zaidi na kurudi kwenye uke na kutoka nje.
 
ndiyo hufanyika procedure inaitwa tubal plasty ni kwa operation ila hiyo anaisema sifikiri ndo hii.
Tubal plasty (tubal surgery) haiwezi kufanyika mara 4 kama alivyoelezea.Most likely amefanyiwa D&C (Dilatation and curettage), ambayo inamuongezea matatizo zaidi badala ya kumsaidia.Labda kama alifanyiwa Hydrotubation,angalau hii inafanania na neno"kusafisha mirija" though in real sense, there is nothing like Kusafisha mirija.
Kuna madaktari wa ngazi ya chini huwa wanawaambia wagonjwa wao" TUTAKUSAFISHA KIZAZI" na wanachofanya ni D&C.Hii sio procedure ya kutibu tubal infertility.Nafikiri yeye na mwenzie wangemuona Gynecologist for more advice.
Tafiti zinaonyesha kwamba kwa wanandoa wenye umri wa chini ya miaka 35 ikipita mwaka mmoja, on regular intercourse without contraception, kama mimba haijatokea, inahitajika uchunguzi wa kina for both couples.
 
unatakiwa upegi magoli mangapi kila mnapolala ili apate mimba?
Ingekuwa mimba inategemea na idadi ya magoli, then ni mahausigeli wachache sana wangeshika mimba za waajiri wao.Hawa huwa wanatandikwa goli moja tu la kuibia(offside) na mpira unatinga wavuni.
 
wadau mim na mwenzangu tulienda kwa daktar wa magonjwa ya uzaz ya kina mama kule temeke mwisho(emmah dispensary) na anafahamika sana na ndo alitushaur baada ya kucheck ultra sound.
 
Anyway haya tumekuwa tukielezea mara kwa mara wakati mwingine tuwkumbushe wawe wanakwenda Jf store.
Sasa ukiangalia huyu dada anamzunguko wa siku 28, ili upate danger days au siku za kupata mimba tunatumia kanuni. Coz kumbuka kuna mizunguko ya aina tatu mrefu siku 35, kati siku 28 na mfupi siku 21.
Sasa formula chukua namba ya mzunguko tuseme Y, chukua Y gawanya kwa 2: Y/2 = X kupata siku za mimba zinapoanza chukua
X-5=, kupata siku za hatari zinapoishia chukua X+3=
kwa mzunguko mrefu
Y= 35, 35/2= 18, X= 18,
siku za kuanzia 18-5= 13,
siku za kumaliza 18+3= 21.
Huyu mwenye mzunguko mrefu siku za kupata mimba ni kati ya siku ya 13 hadi siku 21. Reference point ni tangu unapoanza bleeding. Yaani siku ya kuanza bleeding ndo utaanza kuhesabu moja.
Kwa mzunguko wa kati,
Y=28, 28/2= 14,
siku za kuanza 14-5=9,
siku ya kumaliza siku za hatari 14+3=17
kwa kuwa huyu ndo subject wetu bleeding alianza tar 2 ambayo ndo reference point, ukihesabu kuanza tar 2 siku ya 9 inaangukia tarehe 10th April, na inaishia tarehe 18 April. Kwa hiyo siku za kupata mimba ni kati ya tarehe 10 hadi tarehe 18 April. Mbali na hayo hapa mwanaume katika siku ambazo hazihusiki msifanye mapenzi na wala asitoke nje ya ndoa ili kuzipa muda sperm zikomae vema na pia atumie natural protein kwa wingi kama samaki, njegere, maharage mahindi mboga mboga na matunda na vinavyofanana na hivyo.
Kwa huo mzunguko mfupi nawapa home work mtanipm majibu
asanteni sana
 
Salam wanajf mimi nina swali jee kma mtu hana.mzunguko.maalum inakuaje hili tatizo na utazijuaje siku zako za.danger plz naomba mnisaidie kwa hilo
 
Zingatia kuabstain kwa wiki muda wa kujamiiana asbh saa 11 style kifo cha mende ukikojoa akunje magoti kuzuia zisinwagike kwa busi saa zingatia siku kuanzia ya 10 hadi ya 17 baada. Ya hedhi,kula pweza karanga korosho mayonaise butter kwny mkate kwa siku Mara moja mnajamiiana
 
Kula vidonge vya vit c na e wiki mbili b4 wiki ya kutaft mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…