Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana,Sijawahi kusikia kwamba mirija huwa inasafishwa.Huyo daktari nina mashaka naye.na kma sikosei mtakuwa mnaenda kwa daktari huyo huyo kila mara,na hajui anachokifanya.cdhan kama aliniongopea but nilishawahi kwenda kucheck mimi kama mimi na doctor akadhibitisha kuwa npo poa na kwa mara ya pili nilipoenda na mwenzangu ndpo akagundulika kuwa mirija yake inaitajika kusafishwa,ivo alisafishwa kama mara 4 kwa vifaa vyao na baada ya hapo ndo timing tunatafuta kwan tuna kama miezi 3 toka asafishwe
Tulizana Mkuu mwaka mmoja si muda mrefu kuanza kuingiwa na wasiwasi.
Poleni sana,Sijawahi kusikia kwamba mirija huwa inasafishwa.Huyo daktari nina mashaka naye.na kma sikosei mtakuwa mnaenda kwa daktari huyo huyo kila mara,na hajui anachokifanya.
Maelezo mazuri ongezea na haya hapa.......Aaaah kumbe shida yako ni timing! sasa ni hivyi kuanzia siku ya 11-15 toka siku yake ya kwanza kupata bleeding anaweza kupata mimba,kwa sababu peak ya ovulation(yai linakuwa limekomaa na kuachiliwa kutoka kwenye ovary) ni siku ya 14.
kwa maana hiyo mbegu za mwanaume zinawekuwa hai mpaka zaidi ya masaa 72 hivyo zikikutana na yai mimba inapatakana ndo maana nimeeleza kuanzia siku ya 11,12,13, 14,15 zote hizi umpe maji ya uzima.siku ya 15 ni kwa sababu yai likiachiliwa linaweza kuishi 24hrs kabla ya kuharibika kama halijakutana na mbegu ya mwanaume hivyo siku ya 15 bado aweza kupata mimba.
jamani tusaidiane hapa kila siku huwa nachanganya hapa na kila mtu huwa anaeleza lake!
Hiyo siku ya11-15 zinahesabiwa siku ya kwanza kuona damu au siku ya mwisho kesho yake ndo day 1???'
nijuavyo mimi ni siku ya kwanza kuona damu ndiyo day 1
Maelezo mazuri ongezea na haya hapa.......Aaaah kumbe shida yako ni timing! sasa ni hivyi kuanzia siku ya 11-15 toka siku yake ya kwanza kupata bleeding anaweza kupata mimba,kwa sababu peak ya ovulation(yai linakuwa limekomaa na kuachiliwa kutoka kwenye ovary) ni siku ya 14.
kwa maana hiyo mbegu za mwanaume zinawekuwa hai mpaka zaidi ya masaa 72 hivyo zikikutana na yai mimba inapatakana ndo maana nimeeleza kuanzia siku ya 11,12,13, 14,15 zote hizi umpe maji ya uzima.siku ya 15 ni kwa sababu yai likiachiliwa linaweza kuishi 24hrs kabla ya kuharibika kama halijakutana na mbegu ya mwanaume hivyo siku ya 15 bado aweza kupata mimba.
unatakiwa upegi magoli mangapi kila mnapolala ili apate mimba?
Tubal plasty (tubal surgery) haiwezi kufanyika mara 4 kama alivyoelezea.Most likely amefanyiwa D&C (Dilatation and curettage), ambayo inamuongezea matatizo zaidi badala ya kumsaidia.Labda kama alifanyiwa Hydrotubation,angalau hii inafanania na neno"kusafisha mirija" though in real sense, there is nothing like Kusafisha mirija.ndiyo hufanyika procedure inaitwa tubal plasty ni kwa operation ila hiyo anaisema sifikiri ndo hii.
Ingekuwa mimba inategemea na idadi ya magoli, then ni mahausigeli wachache sana wangeshika mimba za waajiri wao.Hawa huwa wanatandikwa goli moja tu la kuibia(offside) na mpira unatinga wavuni.unatakiwa upegi magoli mangapi kila mnapolala ili apate mimba?