A
Anonymous
Guest
Ni Mwaka sasa tangu tumewasilisha kero yetu ya kutolipwa Fedha za Kujikimu kwa sisi watumishi wa VETA Intake ya September 2025.
Hatujalipwa na kuna mmoja ya mtumishi mwenzenu yeye yupo Makao Makuu anadiriki kusema sisi tunaeza tusilipwe kwa sababu ya kudai haki yetu ambayo kimsingi hatupaswi kuomba.
Pia soma ~ Watumishi wapya wa VETA hatujapewa Fedha za Kujikimu