Mwaka umeisha kuna Mwana jf yeyote mwenye siku hata elf 50 kweli?

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman kwenu wazazi

Leo nimesikitikita sana baada ya kufanya mahesabu kuwa Nina siku ngap dunian toka nizaliwe nimeshangaa sana kukuta Nina siku elf saba tu

Nimeshangaa sana nilijua kuwa nitakuwa hata Nina siku laki kwa malaki kumbe et Nina vi siku elf saba tu

Dah vitu vingine bhana ebhu nawe Mwana jf calculate siku zako ili tujue kuwa una siku ngapi dunian hapa

Kuna Mwana jf kweli humu atakuwa japo na siku elf 50

Babu mshana na bibi faiza sijui wao wanaweza fikisha hata siku ngap

London boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…