Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #21
Sijamaliza Bali nimekataa tu kusoma maana nimeona napoteza mda wangu tuUmemaliza shule au upo likizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijamaliza Bali nimekataa tu kusoma maana nimeona napoteza mda wangu tuUmemaliza shule au upo likizo
Naona unanenepa tu dogo..Happy New Money![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]heshim yKo the list
Hahaha kuna muda kusoma ni matumizi mabaya ya muda tuSijamaliza Bali nimekataa tu kusoma maana nimeona napoteza mda wangu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aman kwenu wazazi
Leo nimesikitikita sana baada ya kufanya mahesabu kuwa Nina siku ngap dunian toka nizaliwe nimeshangaa sana kukuta Nina siku elf saba tu
Nimeshangaa sana nilijua kuwa nitakuwa hata Nina siku laki kwa malaki kumbe et Nina vi siku elf saba tu
Dah vitu vingine bhana ebhu nawe Mwana jf calculate siku zako ili tujue kuwa una siku ngapi dunian hapa
Kuna Mwana jf kweli humu atakuwa japo na siku elf 50
Babu mshana na bibi faiza sijui wao wanaweza fikisha hata siku ngap
London boyView attachment 982384
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂👏👏👏