Lakin mkuu ni fresh tu si mnatumia id fakeNdio maana nikasema kuwa unaweza ukawa unadiscuss Mambo ya chumbani na mwanao wa kumzaa...!!!
Lakin mkuu ni fresh tu si mnatumia id fake
Lakin mbaya zaid ni kwenda pm kwa maza afu ukamchana mistar
Maraaa paaap anatuma picha yake
Kher ya mwaka mpya
tumemzoea lakiniHuyu dogo mimi napenda sana fix zake.
nipo kijijiniDogo bado uko mjin
nalimaUnafanyeje mkuu
Rais ziara zake zinaanza lin
Kuna umri ukiendelea kukaa nyumban unaonekana mduwanzii..... Auwezi Kwenda mezani Kula kabla aujamsalimia baba au mama hata kama unamiliki ufunguo wa vitz au IST lazima uwe mdogo tu..... Alafi kuna washikaji wengine wanafanya kazi na mshahara mzuri akirudi home kutoka job awezi kubeba mkate, matunda, blueband Kila kitu anagombania na wadogo zake Colgate, baby care hadi sabuni YA kuogea tena yeye Ndio anaimaliza kwa kupigia nyeto..Aman iwe nanyi wapendwa
Mwaka ndo huo umesepa
Tumeongeza miaka kazaa
Kuna wengine mwaka umeisha lakin bado tunaish kwa wazazi
Mwaka umeisha beira sijafanya lolote kabisa
Bado naish kwa wazaz wangu sijajitegemea bado
Mwaka unaokuja nataka na mimi niondoke home nikaanzishe maisha yangu aisee
Maana sasa nimekua na mda unayoyoma
Vp wewe mwenzangu lin utajitegemea?
LONDON BABY
[emoji23] [emoji23] na sio hvyo tu ukatoa siri zako humu za michepuko ila tu id inakustiriHapa unaweza ukajikuta mnashauriana mambo ya chumbani na mwanao wa kumzaa.....