Mwaka umeisha wale ambao bado tunaish kwa wazaz tukutane hapa ni lin tutajitegemea?

Mwaka umeisha wale ambao bado tunaish kwa wazaz tukutane hapa ni lin tutajitegemea?

Ndio maana nikasema kuwa unaweza ukawa unadiscuss Mambo ya chumbani na mwanao wa kumzaa...!!!
Lakin mkuu ni fresh tu si mnatumia id fake

Lakin mbaya zaid ni kwenda pm kwa maza afu ukamchana mistar

Maraaa paaap anatuma picha yake
 
Ukishapanga na ukaona vyuma vimekaza usije ukaanza kujiunga na kambi rasmi ya wapingaji a.k.a makamanda
 
Mfano ukajenga kwenye kiwanja cha babako au kwenu ukawa unaishi na wazaz wako nawe unahesabiwa kwamba bado uko kwenu?
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Mwaka ndo huo umesepa
Tumeongeza miaka kazaa
Kuna wengine mwaka umeisha lakin bado tunaish kwa wazazi

Mwaka umeisha beira sijafanya lolote kabisa

Bado naish kwa wazaz wangu sijajitegemea bado

Mwaka unaokuja nataka na mimi niondoke home nikaanzishe maisha yangu aisee

Maana sasa nimekua na mda unayoyoma

Vp wewe mwenzangu lin utajitegemea?


LONDON BABY
Kuna umri ukiendelea kukaa nyumban unaonekana mduwanzii..... Auwezi Kwenda mezani Kula kabla aujamsalimia baba au mama hata kama unamiliki ufunguo wa vitz au IST lazima uwe mdogo tu..... Alafi kuna washikaji wengine wanafanya kazi na mshahara mzuri akirudi home kutoka job awezi kubeba mkate, matunda, blueband Kila kitu anagombania na wadogo zake Colgate, baby care hadi sabuni YA kuogea tena yeye Ndio anaimaliza kwa kupigia nyeto..
 
Back
Top Bottom