Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,095
Wadau,
Mwaka ndo hivyo unayoyoma,zimebaki majuma kadhaa kabla ya kuagana na 2023,kwa upande wangu nilipanga atlist nimiliki kiwanja kweli Mungu mwema nao na miliki ardhi yangu niliyoipata kwa jasho langu.
Eneo ni kubwa zaidi ya robo heka,sasa ngoja nijipange mwaka nianze kujenga taratibu, maisha ni kujipanga.
Kujiongeza 2024 I waiting u.
Je wewe umefanikisha kipi??
kama bado pambana imebaki majuma kadhaa.