Mwaka unaisha, kama vijana yafaa kuwekana sawa. Tunahitaji kuanza upya

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Bro, barikiwa sana....umetoa elimu nzuri sana kwa sisi vijana, umeongea vitu nane ila vina logic sana....achana na hawa wachache wanaofanya watu wote tuonekane wa hovyo kama yeye. God bless you[emoji120]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Aisee,mim ni new member JF lakn ni bahati Kukutana na posts za muhimu kama hii big up sana,naelew Kwa jinsi tulivyo bas Kuna mtu huko aliko atasema AA huyu Jamaa anaongea tu hajui maisha yalivo,ndugu sisi ni walewale kinachokukuta hata kama hakitanikuta hcho bas something else kama kilichokukuta kinanipata,mambo mengi ya muhimu umeongelea sipingi chochote,though I'm late shukran for the welcome.
 
Hujachelewa, wala hujawahi mkuu. Bali umelisoma ili bandiko wakati sahihi kabisa.

Karibu JF mkuu, furahia uwepo wako humu πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…