Mwaka unaisha, ni kitu gani cha thamani umefanikiwa kununua mwaka huu?

Aliefanikiwa ni Lamomy kwenye uhalifu wa October 29 alionekana akiwa kabeba gunia la mchele bega la kushoto na mtungi wa gesi mkono wa kulia mali ambazo siyo zake na hajulikani kazitoa wapi, ila alionekana akitokea kwenye stoo iliyovunjwa mlango
 
Mbona umesahau kuorodhesha kendree zako na mkd wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ