Mwaka Unakata Wazee, Tufanye Tathmini....

Mwaka Unakata Wazee, Tufanye Tathmini....

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Kama masihara vile lakini ndio hivyo tena,
Muda ahusubiri mtu, unasonga mbele kwa mbele kama ccm.

Mipango ilikwenda sawa?
Nani alikuwa mchawi wako?
Au mambo ni vuluvulu??

Tupeane faraja, tuliojikwaa tujue pakushika.

Binafsi milima ilikuwa mingi kuliko miteremko, milima mikali sana.

Zaidi ya yote ni kufurahia haya maisha, kujikubali na kuamini.

Tupe zako...
 
70% ya malengo yangu nimeyaona.

Tuzidi kumuomba Mungu 2019 tufike na kuianza salama ili tuweke malengo mengine.
 
Dah...lengo langu la kumng'oa Sasha Obama liko palepale....mwaka haujaisha...na sijakata tamaa[emoji41]
 
Back
Top Bottom