Mwaka Usiishie Bila Kuanza Ujenzi Japo Hatua Moja - Vijumba vya Tofali na Bati Chache

Nyumba Nafuuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
408
Reaction score
437
Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache

Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi)

Zipo vyumba vitatu, viwili na kimoja

Hamna nyumba ya vyumba vitatu utakayopata yenye unafuu na standard kama hii
- tunayo list ya nyumba 400 kwa website yetu, JF hawaruhusu link, waweza search Google MAKAZI RAMANI au nione inbox kwa namba yangu nikutumie

+255-657-685-268

Vijana mwaka Usiishie bila hata hatua moja mbele ktk ujenzi wa nyumba yako!

 
Mhm nyumba ya mil 14 ya vyumba vi 3 na sebule tu , toa mchanganuo wake mkuu🤔
 
Ungetuma na real picture ingekuwa poa
 
Nenda Google search

"House Plan ID-26508, 1 bedrooms, 700+315 bricks and 26 corrugates"

Ramani zetu online kwa website, I can't put link here JF hawaruhusu link
Nimeenda nimekuta michoro hakuna real house au hamna mlizojenga tukaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…