Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Dec 11, 2017 #2 Aiseeee
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Dec 11, 2017 #3 Watauza Friji na Kitanda kwa lugha ya kuwa wamenunua vingine vipya na ndiyo Kiki ya sasa hata humu, maisha yanakugonga unakuja humu kutafuta wateja kwa kusema umenunua vingine vipya kumbe VYUMA.
Watauza Friji na Kitanda kwa lugha ya kuwa wamenunua vingine vipya na ndiyo Kiki ya sasa hata humu, maisha yanakugonga unakuja humu kutafuta wateja kwa kusema umenunua vingine vipya kumbe VYUMA.
Tajirimsomi JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 4,824 Reaction score 5,587 Dec 11, 2017 #4 Ukute mwenye nyumba yuko ulaya uyo mtu kamwachia akae