Mwaka wa kwanza wanaripoti UDsm na Ardhi lini?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau.

Mwaka wa kwanza wanaripoti chuo lini?
 
Search kwenye websites za vyuo husika. Asante
 
Nime search na Sijaona hiyo taarifa, ndio maana nimeuliza kwa wanaojua ama wenye taarifa hiyo
Basi ni suala la muda tu watatoa taarifa ila najua vyuo vyote no mwezi wa kumo mwishoni na vingine mpaka November mwanzoni
 
Hapa hapa jamani na mimi naomba kujua deadline ya masters application intake ya march 2022. Nimejaribu kuangalia kwenye website haionyeshi deadline.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…