Mwaka wa masomo 2025-2026 nilipata Udahili Open University lakini Sikusoma-Je Naweza Kuomba Chuo Kingine Mwaka Huu?

Mwaka wa masomo 2025-2026 nilipata Udahili Open University lakini Sikusoma-Je Naweza Kuomba Chuo Kingine Mwaka Huu?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Hili jukwaa la Elimu ni moja ya jukwaa ambalo wasomaji wake ni wachache sana ila naomba kwa wale watakao pata nafasi ya kuona huu uzi naombeni msaada wenu.

Naomba msaada juu ya hili jambo,

Mwaka jana nilipata udahili open university na nikafanya registration ila kwa changamoto zilizo nje ya uwezo wangu sikuweza kusoma hata course moja.

Mwaka huu nimeamua nifanye application chuo kingine ambacho nitaenda kusoma kabisa niachane na haya mambo ya online..

Ila wakat nafanya application kwenye hivi vyuo vya private nimeruhusiwa kufanya vikapokea maombi yangu...

ila nikivyojaribu kuomba UDSM nimemaliza kufanye payment niende section ya kufanya selection ya Course za kuomba nikaambiwa nasoma open university so siwez omba.

Sa kitu kimenishitua ni mi najua na hata mwaka jana DRC wetu alituambia kwamba mtu ukiwa open unaruhusiwa kusoma chuo kingine cha physical because open ni online learning haikuhitaji uingie darasan.

Sasa leo najiuliza why nazuiliwa kuomba UDSM na vyuo vingine vya serikali?

Hapa nipo napata wasiwasi je na vyuo hivo vya private nilivyoomba maana yake sitopata.

Kama ni ndio naomba msaada nifanyeje?

Najua kuna watu wanafanya kazi Open university humu naomba muongozo wenu..
Hata wale wanaofanya kazi vyuo mbalimbali wanahusika na maswala ya udahili naomba msaada wenu.

Pia kuna watu wengine wa TCU humu naomba msaada wenu.

Na kama kuna mtu anajua procedures za nini kifanyike inmbox yangu ipo hapo nichek tuwasiliane unisaidie japo sio kwa buree nitakulipa..ila tutaelewana ni shingapi.
 
Maamuzi bora zaidi haya: " Mwaka huu nimeamua nifanye application chuo kingine ambacho nitaenda kusoma kabisa niachane na haya mambo ya online.."
 
Back
Top Bottom