Mwaka wa taabu ni wa taabu. Kipindupindu chavamia Kenya kwa nguvu

Mwaka wa taabu ni wa taabu. Kipindupindu chavamia Kenya kwa nguvu

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Wakati ambapo Corona inaanza kushika kasi na kuwazidi nguvu wakenya, Kipindupindu kimerudi kwa nguvu na kuwaua Wakenya kama kawaida yake kufanya hivyo kila mwaka.

Ikumbukwe kwamba, Kenya imeshindwa kabisa kutokomeza njaa, Kipindupindu na sasa hivi kuna kila dalili kwamba Nzige na Corona wataungana nao kuwa ni wageni wa kudumu kama ilivyo kwa njaa na Kipindupindu.

====

Thirteen Kenyans have lost their lives to Cholera, 12 from Marsabit and one from Turkana. Kenya has recorded a total of 550 cases of Cholera disease, out of which 13 people have succumbed; 70% of the deaths are of children 10 years and below. The government is working hard to resolve the problem that is now only in Turkana and Marsabit.

The Ministry of Health has increased mass testing capacity by 40 percent. Patients of COVID-19 are prone to re-infection more than once. The virus can recur 30-50 days after recovery. This recurs only in people with compromised immune systems. We need to be aware of this developments.

Out of the 3102 samples tested for COVID-19 in the last 24 hours, 80 people have tested positive for Coronavirus. This brings the total cases of COVID-19 to 1109 in Kenya.

Siaya has 7 new cases which were transferred from Kibra in Nairobi. One person took mourners for a burial to Siaya. They were positive. There are 13 positive cases in Kibra today. This explains the cessation of movement in Nairobi.

Westlands has 9 new cases, Lang'ata 5, Mvita 6, Msabweni 5. The residents of these estates should be vigilant and take precautions . A 6 months old baby has contracted the disease.9 patients discharged from hospital. Total number of recoveries in Kenya now at 375. Number of total fatalities still at 50 in Kenya.

======

Kenya's Ministry of Health said on Thursday 13 people have died due to cholera following heavy rains pounding several parts of the nation.

Mutahi Kagwe, Cabinet Secretary for Health said that medical personnel is working round the clock to control the reported 550 disease cases mostly appeared in northern Kenya.

"It is unfortunate that we have lost a total of 13 Kenyans from the disease, 12 of them in Marsabit and one in Turkana," Kagwe told journalists in Nairobi.

"Regrettably, most of the case, 40 percent, and sadly, 70 percent of the deaths too, have been among children aged 10 years and below," he added.

The official said other cases have been reported in Garissa in northeastern Kenya and gradually made its way to Wajir, Turkana and Muranga in central Kenya.

He said that 48 cases in Garissa, four in Wajir and eight in Muranga have been controlled following quick intervention by health personnel.

Kagwe announced that the government has enhanced intervention and that cases in Marsabit and Turkana in the northern region will be contained over the next two weeks.

"We believe that this is feasible, given the fact that the outbreak is currently localized to only two areas, which is Marsabit and Turkana," he added.

Cholera is a gastrointestinal disease, usually spread by contaminated water and food, and can cause severe diarrhea that, in extreme cases, can lead to fatal dehydration and kidney failure within hours. Enditem

Source: Xinhua | English.news.cn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joto la jiwe
Tangu kesi za corona Tz zifike 500 hatujawahi sikia tena data tena na pia Kuna rumors zasema kuwa cases in Tz zimefika 100,000 na vifo zaidi ya 1000 Ila kwa Nchi ya kuficha na kuminya Uhuru wa media hatuwezi bainisha ukweli.
 
Njoo at least hata na kaushahidi. Au na ww ndo walwale wa mabeberu. Ingekuwa vifo 1000 situngewaona hata wafiwa huko mtaani wakisema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu kesi za corona Tz zifike 500 hatujawahi sikia tena data tena na pia Kuna rumors zasema kuwa cases in Tz zimefika 100,000 na vifo zaidi ya 1000 Ila kwa Nchi ya kuficha na kuminya Uhuru wa media hatuwezi bainisha ukweli.
Mkuu uliishia la nne B nini maambukizi yamepungua inamaana ni kutoka hiyo 500 kurudi chini sasa wewe wa rumours za laki moja unatoa wapi, anyway we hoja yako ni kuwa kesi ziwe nyingi ili utembee unapiga kifua kwa kusema sisi ni washindi kwa kinyang'anyiro cha kugombea idadi ya case.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu kesi za corona Tz zifike 500 hatujawahi sikia tena data tena na pia Kuna rumors zasema kuwa cases in Tz zimefika 100,000 na vifo zaidi ya 1000 Ila kwa Nchi ya kuficha na kuminya Uhuru wa media hatuwezi bainisha ukweli.
Nyie wote wapuuzi kwelikweli, mnafaidi kitu gani lakini?
Thirteen Kenyans Succumb to Cholera as COVID-19 Cases Rise to 1109
Wakati ambapo Corona inaanza kushika kasi na kuwazidi nguvu wakenya, Kipindupindu kimerudi kwa nguvu na kuwauwa wakenya kama kawaida yake kufanya hivyo kila mwaka.

Ikumbukwe kwamba, Kenya imeshindwa kabisa kutokomeza Njaa, Kipindupindu na sasa hivi kuna kila dalili kwamba Nzige na Corona wataungana nao kuwa ni wageni wa kudumu kama ilivyo kwa njaa na Kipindupindu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uliishia la nne B nini maambukizi yamepungua inamaana ni kutoka hiyo 500 kurudi chini sasa wewe wa rumours za laki moja unatoa wapi, anyway we hoja yako ni kuwa kesi ziwe nyingi ili utembee unapiga kifua kwa kusema sisi ni washindi kwa kinyang'anyiro cha kugombea idadi ya case....

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi Tuonyeshe idadi sawa mkuu 😉
 
Njoo at least hata na kaushahidi,
Au na ww ndo walwale wa mabeberu..
Ingekuwa vifo 1000 situngewaona hata wafiwa huko mtaani wakisema?

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo na ushahidi was idadi kamili Mkuu 😁😁 hujui kinachoendelea bongo tangu wasitishe kupima na kutangaza. Mpo gizani Mkuu mkingoja uchaguzi Mkuu oktoba.
 
Thirteen Kenyans Succumb to Cholera as COVID-19 Cases Rise to 1109
Wakati ambapo Corona inaanza kushika kasi na kuwazidi nguvu wakenya, Kipindupindu kimerudi kwa nguvu na kuwauwa wakenya kama kawaida yake kufanya hivyo kila mwaka.

Ikumbukwe kwamba, Kenya imeshindwa kabisa kutokomeza Njaa, Kipindupindu na sasa hivi kuna kila dalili kwamba Nzige na Corona wataungana nao kuwa ni wageni wa kudumu kama ilivyo kwa njaa na Kipindupindu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinacho nichosha bado wapo vizuri zaid yetu kiuchumi pamoja na majanga hayo sijui tunafail wapi Tz
 
Tangu kesi za corona Tz zifike 500 hatujawahi sikia tena data tena na pia Kuna rumors zasema kuwa cases in Tz zimefika 100,000 na vifo zaidi ya 1000 Ila kwa Nchi ya kuficha na kuminya Uhuru wa media hatuwezi bainisha ukweli.
Pambaneni na hali yenu ila muishi na wamasai dawa Korona watakuwa nayo kwa sababu its typically local miti shamba.

Sisi tunakamua kama kawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu kesi za corona Tz zifike 500 hatujawahi sikia tena data tena na pia Kuna rumors zasema kuwa cases in Tz zimefika 100,000 na vifo zaidi ya 1000 Ila kwa Nchi ya kuficha na kuminya Uhuru wa media hatuwezi bainisha ukweli.

Umezika ndugu zako wangapi tangu ugonjwa uanze? Achilia mbali hata ambao hawajafa na corona mimi binafsi mpaka sasa mtaa ninao ishi kumetokea misiba miwili tu mmoja wa mzee mwingine ajali sasa katika ukoo wangu pia tumezika mtu mmoja tu tena babu..niambie huko kwenu mnazika kila siku mpaka useme death toll ime top 1000?

Kweli kuna tz ya mitandaoni hio ni tz yakina mange kimambi, Maria sarungi, Shangazi sijui kigogo na activists wengineo hao kwao Tanzania ni toafuti kabisa na tanzania tumayoishi sisi watanzania wengine wao kila uchao ni taarifa sijui za vifo mara hili ila waulize kama hata siku moja wamelia kupoteza mpendwa wao katika familia na hili janga watakuambia hakuna, in really sense Covid19 is overrated.

Kama mlitegemea mpate cheap popularity kwa hili janga basi mmekwama tayari angalieni plan B na sasa hata nyinyi sijui hakuna kugawa vifaa vya kujilinda ovyo iwe ni mbunge au sijui mayor hakuna kugawa masks wala nini bure kama unahitaji kusaidia ni either lete cash ili tufanye allocation au Vinununue na uvikabithi kwa wenyeviti wa mabaraza ya usalama wilaya na mkoa RC na DC for further testing and approval, Hii ni vita hakuna kubembelezana barakoa zako unagawa ovyo mtaani utakuwa arrested tu kama hujafata utaratibu.
 
Hii ni dawa hata Tanzania tunaipata kwa urahisi. Madagascar covid 19 Tonic

20200522_090546.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinacho nichosha bado wapo vizuri zaid yetu kiuchumi pamoja na majanga hayo sijui tunafail wapi Tz
Kwahiyo wewe ukiwa vizuri kiuchumi nyumbani kwako lakini watoto wako wanakufa kwa njaa na kipindupindu kila mwaka, na madeni yanazidi kuongezeka unahisi uko vizuri na unajisifia. Akili za kuku hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom