Mwaka wa taabu ni wa taabu. Kipindupindu chavamia Kenya kwa nguvu

Kwahiyo wewe ukiwa vizuri kiuchumi nyumbani kwako lakini watoto wako wanakufa kwa njaa na kipindupindu kila mwaka, na madeni yanazidi kuongezeka unahisi uko vizuri na unajisifia. Akili za kuku hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo naona upo kiushindani zaidi kati ya tz na Kenya. Mfano janga la nzige unamchekaje mwenzako sisi tunauwezo wa kulishinda likitufika?

Kipindupindu ambacho uchafu unachangia kutokana na mvua dhidi ya miundo mbinu mibovu ambayo sisi tz hatuwezi sema tupo vizuri.

Corona ambayo hatuna kiwango halisi jinsi tulivyo fariki. Tumemtegemea mungu, Kenya mungu hawana

Mi sioni kama unaweza kumcheka mwenzio ktk majaanga ambayo nasipia hatuwezi yakabili
 
Kipindupindu saivi corona imeisha hate mzee kasema
Tangu kesi za corona Tz zifike 500 hatujawahi sikia tena data tena na pia Kuna rumors zasema kuwa cases in Tz zimefika 100,000 na vifo zaidi ya 1000 Ila kwa Nchi ya kuficha na kuminya Uhuru wa media hatuwezi bainisha ukweli.
 
Njoo at least hata na kaushahidi,
Au na ww ndo walwale wa mabeberu..
Ingekuwa vifo 1000 situngewaona hata wafiwa huko mtaani wakisema?

Sent using Jamii Forums mobile app
point mzuri sana ... je atueleze yeye japo majina matano ya majilani zake au ndugu zake walio fiwa asitupe mambo ya kusadikika
 
Hao ndo wanatamani Vita ili wawasaidie mabeberu kuingiza silaha kutorosha dhahabu na kutoa siri za nchi ili walipwe ujira kidogo au walaghaiwe kupelekwa ughaibuni,siwashangai hao waombea mabaya nchi yao
 
mtajuta
mtajuta kukubali ushoga pimbi nyie...
 
magu yupo smart saana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali kabla ya kusema lazima ujipe muda wa kufikiria unachisema, Kenya toka wapate Uhuru hawajawahi kujitoshekeza kwa chakula, njaa ni tatizo lao la kudumu halitokani na Nzige, Nzige wameikumba zaidi Ethiopia kuliko Kenya, mbona hao wakenya wanataka kununua chakula toka Ethiopia?.

Kuhusu kipindupindu, nchi zote za ukanda huu zimekumbwa na mafuriko, kuanzia DRC, Rwanda, Burundi, Tanzania, Uganda, Kenya, Somalia na Ethiopia, vipi ni Kenya pekee ndio ikumbwe na kipindupindu kila mwaka?, hukumbuki mwaka Jana Nairobi ilipokumbwa na kipindupindu wakati wa kipindi cha kiangazi, tena ugonjwa ulianzia katika Hoteli kubwa zenye hadhi kutokana na ukosefi wa MAJI safi na salama?.

Kenya ni nchi ya hovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu kesi za corona Tz zifike 500 hatujawahi sikia tena data tena na pia Kuna rumors zasema kuwa cases in Tz zimefika 100,000 na vifo zaidi ya 1000 Ila kwa Nchi ya kuficha na kuminya Uhuru wa media hatuwezi bainisha ukweli.
Hakuna ndugu wala jirani yangu mtz aliebainika kuwa na corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinsi ulivyobobea kujua vya wenzako hali vyako unavipuuza. Shughulikia mahitaji ya kwako mwanzo. Yanishangaza mtu mzima ana kumbukumbu za mwaka uliopita za mchi nyingine hali nchini kwake balaa. Acha majivuno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…