Wanatutia aibu East AfricaKenya hadi huruma yaani mna
Corona virus
Locust
Shortage of water
Shortage of food
Floods
Massive loans
Corruption
Mwaka huu maji mtaita mmaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu kesi za corona Tz zifike 500 hatujawahi sikia tena data tena na pia Kuna rumors zasema kuwa cases in Tz zimefika 100,000 na vifo zaidi ya 1000 Ila kwa Nchi ya kuficha na kuminya Uhuru wa media hatuwezi bainisha ukweli.