Izidi hapo.
Weka picha
Hakuna maombi ni makofi tu sasa hivi.Basi zidi kuniombea auntie
Wajua sana ulichoninyima shunieAntonio jamani nimekunyima nini
Hakuna maombi ni makofi tu sasa hivi.
Wajua sana ulichoninyima shunie
We mtu unatisha sana una energy sana naona una persistence ya nguvu sana [emoji23]
Wajua sana na sema unajidaisha tu hujuiMbona sikumbuki jamani ebu nikumbushe
Jamani mpenzi wangu mimi huyo you are forever living my love ,You are my Beyonce U know bebe KasieBaby habari za siku nyingi...... Tumepotezana kama safari ya shilingi 5 hehehhehehee.
Huko uliko ukimuona Tized mwambie aje achukue Kodiak yake ya toyo aliniachia.
Ukimuona Tyta mwambie kuna mahali nimeiona kamera yake anitafute nimwambie namna ya kuipata.
Ukimuona Sergio aka Roger Sterling mwambie my lens glasses are on.
Kasinde Mtulivu.
Naanza na wawili atie akili!..Vuta wanne ndio atatia adabu.