Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
bebe umekula nini dinner!?.😀🙂Auntie sitaki shida kabisa ndio mana nimejifungia mtu anakuja anakuuliza umekula utafikiri amekutumia hela ya kula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bebe umekula nini dinner!?.😀🙂Auntie sitaki shida kabisa ndio mana nimejifungia mtu anakuja anakuuliza umekula utafikiri amekutumia hela ya kula
Wajua sana na sema unajidaisha tu hujui
Naanza na wawili atie akili!..
bebe umekula nini dinner!?.😀🙂
sijui kwanini najisahaulisha nayemkazia msambaa mapenzi yalipozaliwa!..Labda niwe sipo babe ndio uanze nao
na swali hili wafanya nini hapo!?..yote ni upotevu wa muda tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekuwa wa pm babe
Basi tu kama umesahauNikumbushe Antonio jamani
na swali hili wafanya nini hapo!?..yote ni upotevu wa muda tu!
Babe wangu acha tu nikufate pm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui kwanini najisahaulisha nayemkazia msambaa mapenzi yalipozaliwa!..
Ahahaha kama ile ya Denfrancee?Ha ha ha ha hadi gari zilizozima nilikua nazivizia nitambae nazo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina mwaka wa Tatu piaNije inbobo [emoji119]
Nita kupeleka kiwanja kipo Bagamoyo hatari unaambiwa!!Yeah ndio yenyewe hiyo
Safi sana.Naanza na wawili atie akili!..
Ahahaha kuna Yale mambo yako!!Ha ha kuna wazungu au?