Hayo mawazo ya kishetani nani akupokee mbinguni!! Jehanam inakuhusu.Basi mbinguni kutadamshi..Kama hadi ww utakwepo..Ila kule ni mwendo wa free P..Nahisi utakonda
Sent using Jamii Forums mobile app
Reception yupo my Douta..Naachaje kupokewaHayo mawazo ya kishetani nani akupokee mbinguni!! Jehanam inakuhusu.
Kule hakuna undugulization, matendo yako ndio yanahesabiwa.
Matendo yangu hayana mushkeli..Tukutane njia pandaKule hakuna undugulization, matendo yako ndio yanahesabiwa.
Wanajioipua mkuu. Wanasema bila ku-take risks huwezi tusua katika maisha.Kwema mkuu? Vijana wanatisha hivi hawaogopi watu wasiojulikana?!
@heaven sent njoo shuhudia maajabu ya dunia.
Hahahaha nimekumbuka tu ile baecation yenu to dubai
Brod darling, I mentioned you somewhere, kachungulieWanajioipua mkuu. Wanasema bila ku-take risks huwezi tusua katika maisha.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaha nimekumbuka tu ile baecation yenu to dubai
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Kuna wanaume wana ahadi kama wanasiasa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yaaani acha kabisa.Kuna wanaume wana ahadi kama wanasiasa
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Wapi sis darling, sipati notification za 'mention' kabisa yani.Brod darling, I mentioned you somewhere, kachungulie
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Wapi sis darling, sipati notification za 'mention' kabisa yani.
Ngoja ni-checkNaona link inanigomea. Kuna Uzi MMU una title hii "Nimewatafuta ndugu zangu tuliochangia baba lakini hawaoneshi kufurahishwa na uwepo wangu"
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Kwakweli, nishamtoa nyota ya bundi.
Douta nimekumiss..Huyo mama yako bila kumdanganya unyumba sipatiHahahaha nimekumbuka tu ile baecation yenu to dubai
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Nimekumiss pia daddy, twa masiku?
Tununu tolo..Nipe mpya..Mkwe amepatikana?Nimekumiss pia daddy, twa masiku?
Sent from my SM-N920C using Tapatalk