Mwaka wa tatu sasa sijatongoza wadada wa MMU

Mwaka wa tatu sasa sijatongoza wadada wa MMU

1-kinetic energy
KE = 1/2 mv2

2-potential energy
E=mgh

3-Mtongozo energy
ME= MC(U)=papuchi

where ME = mtongozo energy
MC =mans confidence
U= ujuzi

😂😂😂😂😂
 
Baby habari za siku nyingi...... Tumepotezana kama sarafu ya shilingi 5 hehehhehehee.

Huko uliko ukimuona Tized mwambie aje achukue kofia yake ya toyo aliniachia.

Ukimuona Tyta mwambie kuna mahali nimeiona kamera yake anitafute nimwambie namna ya kuipata.

Ukimuona Sergio aka Roger Sterling mwambie my lens glasses are on.

Kasinde Mtulivu.

I see you too, Kasie. No blur.
 
Back
Top Bottom