Hahaha, espy sasa utakubaliwa bila kutongozaKumbe wanaotongoza hovyo ndio hukubaliwa!!!
Ndio. Sio wote hutongoza ujue, mnakuwa marafiki then kifuatacho itv mnajikuta shetani ashawapitia alafu ndio basi tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] I wish.....???Ndio. Sio wote hutongoza ujue, mnakuwa marafiki then kifuatacho itv mnajikuta shetani ashawapitia alafu ndio basi tena.
Haijawahi kukutokea hiyo?
Wacha we!!fursa hii.
Basi tuanze tu urafiki, shetani akitupitia sio makosa yetu kwakweli.
Mmmmh!!! Wewe tena!!!!!!Mimi ndio sijawahi kutongoza yeyote humu jf wallah....[emoji12] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi tuanze tu urafiki, shetani akitupitia sio makosa yetu kwakweli.
Unanicheka tena!!!
Ewalaaaaa!!
@ushimen tutake radhi kwa ukongwe wako JF tangu nilipoanza kukufahamu kweli?Mimi ndio sijawahi kutongoza yeyote humu jf wallah....[emoji12] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app