Mwaka wa uchaguzi na kamati za giza, wanasiasa msiue watanzania kisa ushindi wa kisiasa

PLOII

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,126
Reaction score
849
Hello guys,
It's supercalifragilisticexpialidocious on our current political trends not only that but it's flabbergasted, lambasted & distressed.
Niende kwenye Mada baada ya kutoa sumu kupitia hiyo statement.

Siasa ya Nchi ni kama Uganda, DRC, Mozambique, Comoro, Angola n.k
Ila tofauti na siasa za nchi zilizo chini ya mfumo wa Demokrasia iliyoletwa na Wazungu kama Ghana, Zambia, Kenya na hata Botswana.

Sayansi kubwa ya siasa yetu ni matambiko , fitina, majungu na kuchinja (IPM Philosophy) na Kwa sasa Kuna mchakato unaendelea ndani ya Chama tawala (CCM) baada ya hapo kuna ambao hawatakubaliana na utaratibu watakimbilia vyama pinzani "hatuamini kwenye kashindwa"

Kila inapokaribia uchaguzi utasikia mwanasiasa huyu akaenda Bariadi mwingine Mombasa mwingine Mozambique lakini ndani ya Nchi ni ajali kila siku mara mtu kapotea. Kwa sasa watu watasema katekwa kumbe kawa kafara.

Ni wakati wa kuamini kuwa uongozi ni utumishi na Mungu ndio mtoa uongozi tupunguze makafara, fitina na majungu. Bahati mbaya tunatumia nguvu kubwa kiuhalisia hatuna Sera mfano Kuna mtu ni Mbunge kuanzia Mwaka 1995 bado anaamini anaweza kutatua shida za Wananchi wake. Kwa miaka yote akiwa kiongozi wao watu wake hawana uhakika kipato cha 5,000/- Kwa siku "70%" per population. Bado nae ataenda Kwa Msisi kutambika achaguliwe.

Bible asserts "kama huwezi kuridhika Kwa kidogo basi siku zote hautajitosheleza"

Let's be honest sometimes for 30 years bado unatambika uwe kiongozi, we can't allow it in God's Favour.
​
 
Kutenda mabaya uwe na uhakika yatakurudia, kila mtu atavuna matunda ya matendo yake
 
Ushauri wangu, kaa mbali wasije wakakipitia. Hiki kipindi kinakuja mara moja kwa miaka mitano ujue!
 
Back
Top Bottom