msela wa mbagala
Senior Member
- Dec 13, 2019
- 144
- 480
ziliwahi kusikilizwa lini kwa kumbukumbu yakoNi mwaka ambao hatujui kama kura zetu ndo zitasikirizwa au wakurugenzi na nec!!
Sent using Jamii Forums mobile app
yangu macho sisadiki hata kidogoMwaka wa wajinga ndio waliwao amen.
Ni mwaka ambao tunachagua aina ya maisha tutakayoishi.
Za madiwani na wabunge huwa zinasikilizwa sana ila tem hii ndo hatujuiziliwahi kusikilizwa lini kwa kumbukumbu yako
Si mpaka tuwe na akili hiyo.Kuna robots zinaitwa police aliyekaribu na button anaponyeza tu na zinashugulikia watanzania then matokeo yanabadirishwa.hizi robots zenyewe kipaumbele chake ni kutii amri/signal from burton and not their life,watoto wao na ndugu zaoNi mwaka ambao tunachagua aina ya maisha tutakayoishi.
Mtachagua au Mtachaguliwa?Ni mwaka ambao tunachagua aina ya maisha tutakayoishi.
Maamuzi ya wananchiNi mwaka ambao hatujui kama kura zetu ndo zitasikirizwa au wakurugenzi na nec!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na umma utakavoamua