Yeheeeeeee!!!!!!!!Acha maneno weka muziki.
Ali kiba......
I'll die your blood fan [emoji123]
1. Marry YouHiyo ni timu nzima ya WCB,ila hili ni jeshi la mtu mmoja
1.Nagharamia.
2.Lupela
3.Aje (Hiyo list yako yote hakuna wimbo wa kuufikia huu)
Asante Ali Kiba kwa burudani hii,ulikuwa mwaka mzuri kwangu kiburudani kupitia ngoma hizo.
Nategemea mengi makubwa zaidi kutoka kwako kama kawaida yako maana hujawahi kuniangusha.
I'll die your blood fan [emoji123]
Yaan hapo kidogo tena sanaa labda matatizo zingne zote znakiki mwez mmoja tuWeekend well spent
My playlist
1. Kidogo - Diamond Feat P Square
2. Matatizo - Harmonize
3. Salome - Diamond Feat Rayvanny
4. Natafuta Kiki - Rayvanny
5. Kwetu - Rayvanny
6. Bado - Harmonize Feat Diamond
7. Make Me Sing - Diamond Feat A. K. A
8. Nana - Diamond Feat Mr. Flavour
9. Itabaki Stori - Rich Mavoko
10. Kokoro - Rich Mavoko Feat Diamond
Daaah kweli weekend well spent.. Ahsante wasafi kwa good music.
2017 Bring it on
Wawekee na mwana tu iwakimbizeHiyo ni timu nzima ya WCB,ila hili ni jeshi la mtu mmoja
1.Nagharamia.
2.Lupela
3.Aje (Hiyo list yako yote hakuna wimbo wa kuufikia huu)
Asante Ali Kiba kwa burudani hii,ulikuwa mwaka mzuri kwangu kiburudani kupitia ngoma hizo.
Nategemea mengi makubwa zaidi kutoka kwako kama kawaida yako maana hujawahi kuniangusha.
I'll die your blood fan [emoji123]
Mkuu ongezea na hizi tulizosaidia kuzifanya zihit..
1. Inde - dully ft. Harmonize
2. Mugacherere - Q boy, rayvany, shetta (hii yakwetu wenyewe)
3. Watora mali - jah prahzd ft. Simba
Alafu hiyo nyimbo ya BADO - Harmo na Simba, inanikumbusha mbali sana.. Hahahaha kipindi hicho bifu langu na mtoto mzuri Nifah liko on the peak alafu ile dizaini unamuelewa moyoni.. Unabaki na maumivu tu ndani kwa ndani
[emoji444] moyoo wangu mama, ibeee
Unandondoka , ibeeeee
Niokote mama, ibeeee [emoji445] [emoji444]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Life is an interesting journey..
[emoji85] [emoji85] [emoji85] ni ushabiki tu jamani.Jiangalie wewe mtoto [emoji35] [emoji35]