MWAKA WA WASAFI CLASSIC

MWAKA WA WASAFI CLASSIC

Fasir

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
222
Reaction score
270
Weekend well spent
My playlist
1. Kidogo - Diamond Feat P Square
2. Matatizo - Harmonize
3. Salome - Diamond Feat Rayvanny
4. Natafuta Kiki - Rayvanny
5. Kwetu - Rayvanny
6. Bado - Harmonize Feat Diamond
7. Make Me Sing - Diamond Feat A. K. A
8. Nana - Diamond Feat Mr. Flavour
9. Itabaki Stori - Rich Mavoko
10. Kokoro - Rich Mavoko Feat Diamond

Daaah kweli weekend well spent.. Ahsante wasafi kwa good music.
2017 Bring it on
 
Imba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Ongeza na Mugacherere. Halafu ongeza na hii kitu Marry you

"Eeeh when you smile(ndo mi napendaga)
Eeeh when you smile (ndo mi napendaga)
Eeeh when you smile (ndo mi napendaga)
When you smile (ndo mi napendaga)
I want to marry you (ooh lalala!!!)
I want to marry you (ooh lalala!!!)
I want to marry you (ooh lalala!!!)
Aaah twende kwa mama papaa
I want to marry you (ooh lalala!!!)
I want to marry you (ooh lalala!!!)
I want to marry you (ooh lalala!!!)
Aaah twende kwa baba na mama yangu
Now and forever we will be together I want you only
 
Attachments

Unavosasambua kama nguo mnadaniii Ayayaa Ohh Baby Girl I want u to see aaah oh Baby Kokoro kokoro Eeehhh
 
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
 
Hiyo ni timu nzima ya WCB,ila hili ni jeshi la mtu mmoja

1.Nagharamia.
2.Lupela
3.Aje (Hiyo list yako yote hakuna wimbo wa kuufikia huu)

Asante Ali Kiba kwa burudani hii,ulikuwa mwaka mzuri kwangu kiburudani kupitia ngoma hizo.

Nategemea mengi makubwa zaidi kutoka kwako kama kawaida yako maana hujawahi kuniangusha.

I'll die your blood fan [emoji123]
 
Mkuu ongezea na hizi tulizosaidia kuzifanya zihit..

1. Inde - dully ft. Harmonize
2. Mugacherere - Q boy, rayvany, shetta (hii yakwetu wenyewe)
3. Watora mali - jah prahzd ft. Simba

Alafu hiyo nyimbo ya BADO - Harmo na Simba, inanikumbusha mbali sana.. Hahahaha kipindi hicho bifu langu na mtoto mzuri Nifah liko on the peak alafu ile dizaini unamuelewa moyoni.. Unabaki na maumivu tu ndani kwa ndani
[emoji444] moyoo wangu mama, ibeee
Unandondoka , ibeeeee
Niokote mama, ibeeee [emoji445] [emoji444]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Life is an interesting journey..
 
1. Marry You
2. Salome
3. Kidogo
4. Nana
5. Nasema nawe
6. Make me sing
7. Chacun Pour
 
Weekend well spent
My playlist
1. Kidogo - Diamond Feat P Square
2. Matatizo - Harmonize
3. Salome - Diamond Feat Rayvanny
4. Natafuta Kiki - Rayvanny
5. Kwetu - Rayvanny
6. Bado - Harmonize Feat Diamond
7. Make Me Sing - Diamond Feat A. K. A
8. Nana - Diamond Feat Mr. Flavour
9. Itabaki Stori - Rich Mavoko
10. Kokoro - Rich Mavoko Feat Diamond

Daaah kweli weekend well spent.. Ahsante wasafi kwa good music.
2017 Bring it on
Yaan hapo kidogo tena sanaa labda matatizo zingne zote znakiki mwez mmoja tu
 
Hiyo ni timu nzima ya WCB,ila hili ni jeshi la mtu mmoja

1.Nagharamia.
2.Lupela
3.Aje (Hiyo list yako yote hakuna wimbo wa kuufikia huu)

Asante Ali Kiba kwa burudani hii,ulikuwa mwaka mzuri kwangu kiburudani kupitia ngoma hizo.

Nategemea mengi makubwa zaidi kutoka kwako kama kawaida yako maana hujawahi kuniangusha.

I'll die your blood fan [emoji123]
Wawekee na mwana tu iwakimbize
 
Sio simba sio chui sio mamba sitaki kusikia ngozi yangu inatosha kujigamba
 
Mkuu ongezea na hizi tulizosaidia kuzifanya zihit..

1. Inde - dully ft. Harmonize
2. Mugacherere - Q boy, rayvany, shetta (hii yakwetu wenyewe)
3. Watora mali - jah prahzd ft. Simba

Alafu hiyo nyimbo ya BADO - Harmo na Simba, inanikumbusha mbali sana.. Hahahaha kipindi hicho bifu langu na mtoto mzuri Nifah liko on the peak alafu ile dizaini unamuelewa moyoni.. Unabaki na maumivu tu ndani kwa ndani
[emoji444] moyoo wangu mama, ibeee
Unandondoka , ibeeeee
Niokote mama, ibeeee [emoji445] [emoji444]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Life is an interesting journey..

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi wakati bado inatoka nilikuwa naielewa kinoma tatizo kusema huku nashindwa nisijekumpa ushindi The bold
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Basi nikawa naucheza hasa pale Chibu anakotikisa kichwa hatari sana.
Kichwa kilikuwa kinauma hatariiiii...
Ila huku ndio sisemi!
Dah those days tulikuwa na bifu la kijinga sana.

But...I thank God, yaliyopita sio ndwele.
We are [emoji132] now.
 
Back
Top Bottom