Mwakalebela: Simba haitamaliza top 4 msimu huu

Mwakalebela: Simba haitamaliza top 4 msimu huu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Makamu mwenyekiti wa klabu ya YANGA FC Fedrick Mwakalebela amesema kuwa simba haiwezi. Kumaliza ndani ya top four mwishoni mwa msimu huu

Mwakalebela amezitaja timu ambazo zitamaliza Top Four mwishoni mwa msimu wa ligue ya NBC Premier kuwa ni

1. Yanga
2. Azam
3. Mbeya city
4. Polisi

Je, kwa mwenendo wa ligue unazani ni kweli utabiri wa mwakalebela utatimia kweli?

GENTAMYCINE
ChamasonMorisonBwalyason
Scars
okwi boban sunzu
FB_IMG_16425989595354759.jpg
 
Inasemekana kiungo kimoja kikizidi Huwa,hupun guza uwezo wa viungo vingine kufanya kazi[emoji38]

Bila shaka tumbo huathiri ubongo!
Hapana mkuu..,. Mwili unavyoongezeka pia organ za mwili huongezeka ......the same to ubongo
 
Ayo maneno angesema injinia labda ningetilia maanani ila sio uyo.
Ila kiongozi kuongea maneno kama hayo ni kukosa weledi. Ni kama vile kupanga matokeo. Hilo ni kosa kubwa sana kwenye mchezo wa mpira wa miguu, viongozi wajitambue kuna maneno ya kuongea mashabiki na kuna maneno ya kuongea kiongozi
 
Ila kiongozi kuongea maneno kama hayo ni kukosa weledi. Ni kama vile kupanga matokeo. Hilo ni kosa kubwa sana kwenye mchezo wa mpira wa miguu, viongozi wajitambue kuna maneno ya kuongea mashabiki na kuna maneno ya kuongea kiongozi
Watanzania huwa tunashindwa kujizuia
 
Ila simba bhana! Yaani mpaka muda huu eti bado wanaamini wana kikosi kipana, na kitaendeleza wimbi lao la kuchukua ubingwa wa ligi kuu kila msimu!

Wamesahau timu nyingine nazo zimejipanga kwa malengo hayo hayo! Ushindani umeongezeka kwenye ligi! Lakini pia wamesahau wachezaji wao wana fatique baada ya mafanikio ya miaka 4 mfululizo!
 
Sasa yeye M/m wa Yanga masuala ya nafasi ya Simba yanamhusu nini? kiherehere wakati bado ligi haijaisha si sahihi. Kuna mambo mengi sana ya Yanga ya kuyajali kubwa ikiwa ni kubeba ubingwa.
 
Back
Top Bottom