Mwakalebela: Simba haitamaliza top 4 msimu huu

Mwakalebela: Simba haitamaliza top 4 msimu huu

Ila simba bhana! Yaani mpaka muda huu eti bado wanaamini wana kikosi kipana, na kitaendeleza wimbi lao la kuchukua ubingwa wa ligi kuu kila msimu!

Wamesahau timu nyingine nazo zimejipanga kwa malengo hayo hayo! Ushindani umeongezeka kwenye ligi! Lakini pia wamesahau wachezaji wao wana fatique baada ya mafanikio ya miaka 4 mfululizo!
Hawajui kuwa no ni wakati wa PIRA PESA
 
Hili jamaa lina cheo kizito ila hana mamlaka.Niliona mechi ya Yanga na Azam pale taifa wale walinzi wa getini wamemzuia kuingiza watu wake V.I.P.Jasho lilikuwa linammwagika hadi huruma.
 
Hili jamaa lina cheo kizito ila hana mamlaka.Niliona mechi ya Yanga na Azam pale taifa wale walinzi wa getini wamemzuia kuingiza watu wake V.I.P.Jasho lilikuwa linammwagika hadi huruma.
Angekuwa babra ...angezila
 
Ila kiongozi kuongea maneno kama hayo ni kukosa weledi. Ni kama vile kupanga matokeo. Hilo ni kosa kubwa sana kwenye mchezo wa mpira wa miguu, viongozi wajitambue kuna maneno ya kuongea mashabiki na kuna maneno ya kuongea kiongozi
namini kwenye ile list ya msukule watu wenye akili utopoloni na wewe uongezwe kutoka mzee kikwete na mzee manara pia uafuatie na wewe waliobaki wote na mleta mada hawana akili
 
Ndilo tatizo la kujamba akili . Hili jitu na ukubwa wa tumbo lote hilo kumbe kichwani ni 0 kabisa!!!
 
Back
Top Bottom